Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Kuna sehemu yoyote ulisema kama dada ako ndo alikua anakubust kifedha kwenye hyo story yako?Kumbuka sister ndo mtatuzi pekee wa changamoto zangu financially tangu nikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sehemu yoyote ulisema kama dada ako ndo alikua anakubust kifedha kwenye hyo story yako?Kumbuka sister ndo mtatuzi pekee wa changamoto zangu financially tangu nikiwa
Mambo ni mengi mkuu as siwezi elezea kila kituKuna sehemu yoyote ulisema kama dada ako ndo alikua anakubust kifedha kwenye hyo story yako?
Nampenda sana sista angu datz y sikuweza mcrush kwa namna yyte japo iliniumiza na kunikera+aibu ila nilivumiliaKaka kwan kitanda chango ngap kwa ngap au moja kwa mbili kama tano kwa sita walalq fresh tuh mbna m ngelala ndan ye akilala nae n yeye halafu huyo sista anakutegemea wew umpe mawazo kama mwanaume au kaka yake hawa viumbe kuna mda akil huwaga hazisom au dada yako mbaya nn!?but i love my sista too an nawakubal na nikiwepo mm ndio incharge nahangaisha akil lbda iwe wew na dadako haziiv akn kama ndio tia tia maji bas pole mkuu but najua dadako anahtaj umkomboe na upambane hv hv uslaumu wahun tukawa tunakula kizembe useme sista hana akili
Apo uhakik nkajua bado unahizo mishe ebu mlzia stor kwanNampenda sana sista angu datz y sikuweza mcrush kwa namna yyte japo iliniumiza na kunikera+aibu ila nilivumilia
Kiukweli nachomshaur ndo anachofanya siku hizi nina nguvu chanya sana juu yake,kana ikitokea baba amshauri jambo na mimi nimshauri langu lazima lipite,imefkia stage mzee analalamika kuwa hamshrikishi mambo yake...kuhusu kuolewa hadi saivi kakataa 3 mens walioweka nia ya kumuoa zote nlimkataza na kumwambia afocus kutafta pësa na kutengeneza kesho ake sabu hadi saiv ana watoto wanne watatu mwanaume wa kwanza na mmoja mwanaume alieachana nae mara ya mwisho...ndo chanzo cha kumshauri asiingie kwenye majukum ya ndoa na aschukulie ndoa ndo solution ya matatizo yake.
Nashukur saivi tushasettle kila kitu na mambo ni bull bull