Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Aposto kweli mashangazi walikukamata mpaka sare ya batiki ulivaa hahahahaah we jamaa ni bonge la msimulizi hata simulizi yako ingekuwa na kisa kibaya ila itanoga tu maana usimuliaji wako ni very unique. Kongole kwako mkuu
 
Mnakutana na mengi arooo, na ngomani ukaenda ungeliwa nyama je? Hapa ulitumia akili za mwanamke sie ndo huwa hatujiulizi mara mbili, ugenini hata mkasi hatufichi tunalala kwa amani zote liwe jambazi sugu linalosakwa na serikali, tofauti na nyie mazingira mageni yanawakosesha amani hata usingizi hampati na unakuta una kisilaha chako chini ya godoro
 
Ile ndio ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kuvaa batiki
 
Amekuja na povu sio la nchi hii, jazba za kufa mtu. Kosa langu ni kukuquote tu. Sitaki kesi Mimi, nenda kamplease, apoe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Unazingua aposto achana na wapuuzi kwanza tangu nichat na mtu pm ni zaidi ya miezi 3 huyo kachanganyikiwa na yake tu km kweli yupo
 
Inategemea na ugenini mwenyewe, kule uzaramuni palikuwa ni amani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…