Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Una experience nzuri sana kwenye maisha yako though ina makandokando mengi ila naamini yamekutengeneza sana kuwa jinsi ulivyo leo, akili yangu inaniambia for now wewe ni mtu bora sana. Hongera kwa kuchomoka salama kwenye mitikasi yote hiyo
Pamoja sana broh πŸ‘Š
 
Mzee ulijuaje kiea mzee bonge ni danga la mama Husna
 
Watu wengi mkisikia neno "Shangazi" picha inayowajia lazima awe mnene. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Ila wapo mashangazi wengi tu slim or small sized. Madam Nuru hakuwa mnene.
Huyo hana sifa ya kuwa mshangazi labda wao waitwe Aunt. Mshangazi lazima awe na nyama za kutosha, ukiangalia nyama za mikono kama zinataka kudondoka, awe ananukia na amevaa vito vizuri vya thamani, awe na msambwana mkubwa na ziwa kubwa kama ananyonyesha kijiji, huyo ndo shangazi sasa hao wengine ni Aunt
 
Ila we jamaa😁😁😁😁
 
Kaka Mzazi ulikamatwa!
AHAHAHAHAHAHHAHAHHAA ila kwenye beseni nishachukua pwenti.
Ngoja niandae mazingira mazuri zaidi ya pensheni kuingia kwenye acc. yangu!
 
Mhhh hii episodee kiboko..πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…