Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

ila we jamaa ulikua 'kahaba' wa kiume aiseee.......
yani wewe kila ukiona mwananke kiboooolllo kinasimama?
 
Aposto bamkwe nasubiria kipande Cha kufumaniwa....hyo nyumba inaangaliana na kanisa au? Kama naijua🀣
 
"Hii ni kama bufee tu, unachagua unachopenda vingine unaviruka"
 
Nadhani toka enzi lala moko, sidhani kama nishasoma Story jf ina dialogue kali kama hii mkuu πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ.
Ningekuwa story or scriptwriter wa bongo movie ningekutafuta maana ndio kitu kikubwa walichokosa kwenye story zao πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…