Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Samahani 'baba mkwe' najua watu watachukia kwa hili ntakaloshauri ila ni ushauri tu, katisha hii story hapa kaanzishe group telegram au whatsapp ilo tulipie angalau upate pesa kidogo kutokana na kipaji chako. Weka kiingilio cha elfu 5 kwa mwezi ukipata watu 200 una 1m kwa mwezi.
Ni wazo tu baba mkwe a.k.a baba husna.
 
Sio wote ni masikini kama wewe.
 
Kwa hizi shobo ungekua mdada ungelikua unawatunuku wana uroda kwa bei nafuu
 
Kumbuka hii ni jamii kubwa kuliko unavyo fikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…