Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

unacheza na maneno mkuu kwanza nani kakwambia ana shida ya hizo coin? Af u real think sisi washindia vitumbua vya miambili tutaingia na kiingilio na hapa tunawish atume hata vocha tuwe tunajiunga bando ndo tumsome
 
: "Nimesema bila Moga musije, hakikisha unamupata. Kama hayupo kwake, kamucheki gereji kwa White pale. Ukimukosa njoo na Pati""
 
Mutani alipoita jopo ukasema nikikaa kimama nafumuliwa mzima mzima πŸ˜‚ khakhakhaaaa!
Kumbe mutani alishapata story zenu mr tombatomba na mkewe akawatega !

Cc Smart911
 
Ukaona futa hili hapaaa
 
alikupa story gani kuhusu huyo mkewe?
 
Mutani on trending
 
"Kasimu naomba uje hapa nyumbani haraka, nimejaribu kumupigia Mogadishu simupati.... Punguza maswali kaka, ukifika nitakwambia, ila mupitie Moga pale masikani kwake muje naye". utaomba maji mutani!
 



"We mu$enge huko ndani umevunja nini? Unajua mutani nitakuua?. Ohoo"
 
"Akili ikaniambia huyo Mogadishu ambaye anasisitiziwa kuja, kama akifika basi shughuli imeisha, maana ilo jina haliwezi kuwa la balozi au mwenyekiti wa serikali ya mtaa"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
that was my favourite part walaqhi', jumlisha na; 'Mimi nipo kimya tu kule chumbani, kwani kuzungumza ni lazima mlango ufunguliwe'?...

Ila mutani ubarikiwe mpaka ushangae akii' tena..!πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…