Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hyo mitaa majengo Yao wanayajenga Kwa makafara, mtakuja mtolewe misukule , Jana kajiua mtu mitaa hyo Leo tena wamekoswa koswa hao
Sawa , hzo lift hazina notification Mzee , kwamba ikiwa overweight Haimove ?? Labda kama ni lift ya mwaka 70 , modern lift zpo more sensitive , hzo sio gari za mwendokasi , mbna we ndo primitiveHizi ni primitive negative thinking from person like you. Kila lift ina indicated weight, watu wengi huwa hawasomi hiyo
We jamaa ume wa mislead watu hapa, kwanza lift ikizidi uzito haifungi, pili mi nilikuwepo eneo la tukie na kusaidia majeruhi... lift ni mbovu na ilikua kwenye majaribia yasiyozingatia taratibu watu waliokuwemo ni saba na si 10.Hawakusoma maelekezo? au wamezoea kushonana kwenye gari za mbagala.......pole yao.
Bado wataingia kwenye magari yao na wasifunge mikanda tena.Hapo sipati picha walivyokuwa wakimuita Mungu au Mama zao maana kutoka 10 hadi mwisho wa lift sio kazi ya kitoto
Wasaidie hawa ma bush lawyer... hii habari ni yakupikwa ukweli walikua watu saba tuu na wote wamevunjika miguu kama si dislocation ya mifupa yao maana mm ni miongoni mwa wakio saidia majeruhiSawa , hzo lift hazina notification Mzee , kwamba ikiwa overweight Haimove ?? Labda kama ni lift ya mwaka 70 , modern lift zpo more sensitive , hzo sio gari za mwendokasi , mbna we ndo primitive
Kama kawaida yetu hatutaki kufuata vipimoWatu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II, Dar es Salaam kuporomoka kutoka ghorofa ya 10.
Jeshi la Zimamoto limesema chanzo ni lift hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo karibuni kuzidiwa uzito ambapo waliingia zaidi ya watu 10 kwa wakati mmoja.
---
Aliye mislead ni mleta madaWe jamaa ume wa mislead watu hapa, kwanza lift ikizidi uzito haifungi, pili mi nilikuwepo eneo la tukie na kusaidia majeruhi... lift ni mbovu na ilikua kwenye majaribia yasiyozingatia taratibu watu waliokuwemo ni saba na si 10.
Tatizo la lift hapo ni la muda mrefu saana ivo si mazoea ya watu kama usemavyo
Hivi zile za UDSM huwa zinakumbukwa kwa matengenezo kweli!!!Lift nyingi hazina service
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli nilipiga ukunga wa nguvuu achaa tyuuh yaan.Kupatwa na hofu kwenye lift ni jambo la asili kabisa. Huwa tunajifunza baadaye kuacha kuogopa umbali.
Hofu za asili kwa wanadamu ni mbili tu; umbali mrefu (height) na kelele kali (noise). Hofu nyingine zoooooote tunajifunzaga.
Hapo mwili ulisoma ghafla 'Upo JUU NA UNA HATARI YA KUDONDOKA' ndo maana defence zikakick in fasta.
Acha woga, vipi ukipanda ndege[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli nilipiga ukunga wa nguvuu achaa tyuuh yaan.
Hilo eneo lifanyiwe maombi, jana mtu katoka ghorofa ya 7 hadi chini, leo lift toka ghorofa ya 10Tuna matatizo sana unakuta umeandikiwa idadi ya watu ni 7 nyie mnang'ang'ana muingie 12 ingetokea kifo watu waandike Mungu kawapenda zaidi Mungu yupi huyo
Ifike wakati tuache mazoea tufuate masharti kuepusha maafa na hasara zinazoweza kuepukika
Wakumbuke wapiii? Wanafunzi wanajipandia tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi zile za UDSM huwa zinakumbukwa kwa matengenezo kweli!!!
Tobaaaaaah toka 14 hadi chini?? Miguu iko salama kweliii?? [emoji24][emoji24][emoji24]Taarifa zinazotoka sio sahihi hata kidogo,waliokumbwa na kadhia hiyo ni watu saba tu,baada ya kuanguka mafundi walikuwa na waliifungua lift na waliotolewa ni 7 tu,na imeanza kuporomoka toka ghorofa ya 14.
Nakumbuka pale hall 5 ilikuwa inainuka kwa kuchechemea sana, kamba kule juu zipo hoiWakumbuke wapiii? Wanafunzi wanajipandia tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari imepostiwa ki mkakati kutunza image ya mashirika ya serikali... sasa na wewe ulitakiwa ujenge hoja kichwani je watu 10 ni wengi au la ?? Kwenye jengo la ghorofa karibu 20 watakua na lift ya watu 7 kweli?? Na pia ni ghorofa ya 14 si ya 10Aliye mislead ni mleta mada
🤣🤣🤣We kuweza?At least wame-experience force of gravity.
Miguu hamna wanaume wanalia ka watoto mzee usiombeTobaaaaaah toka 14 hadi chini?? Miguu iko salama kweliii?? [emoji24][emoji24][emoji24]