Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

Hyo mitaa majengo Yao wanayajenga Kwa makafara, mtakuja mtolewe misukule , Jana kajiua mtu mitaa hyo Leo tena wamekoswa koswa hao

Hizi ni primitive negative thinking from person like you. Kila lift ina indicated weight, watu wengi huwa hawasomi hiyo
 
Hizi ni primitive negative thinking from person like you. Kila lift ina indicated weight, watu wengi huwa hawasomi hiyo
Sawa , hzo lift hazina notification Mzee , kwamba ikiwa overweight Haimove ?? Labda kama ni lift ya mwaka 70 , modern lift zpo more sensitive , hzo sio gari za mwendokasi , mbna we ndo primitive
 
Hawakusoma maelekezo? au wamezoea kushonana kwenye gari za mbagala.......pole yao.
We jamaa ume wa mislead watu hapa, kwanza lift ikizidi uzito haifungi, pili mi nilikuwepo eneo la tukie na kusaidia majeruhi... lift ni mbovu na ilikua kwenye majaribia yasiyozingatia taratibu watu waliokuwemo ni saba na si 10.

Tatizo la lift hapo ni la muda mrefu saana ivo si mazoea ya watu kama usemavyo
 
Sawa , hzo lift hazina notification Mzee , kwamba ikiwa overweight Haimove ?? Labda kama ni lift ya mwaka 70 , modern lift zpo more sensitive , hzo sio gari za mwendokasi , mbna we ndo primitive
Wasaidie hawa ma bush lawyer... hii habari ni yakupikwa ukweli walikua watu saba tuu na wote wamevunjika miguu kama si dislocation ya mifupa yao maana mm ni miongoni mwa wakio saidia majeruhi
 
Watu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II, Dar es Salaam kuporomoka kutoka ghorofa ya 10.

Jeshi la Zimamoto limesema chanzo ni lift hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo karibuni kuzidiwa uzito ambapo waliingia zaidi ya watu 10 kwa wakati mmoja.

---
Kama kawaida yetu hatutaki kufuata vipimo
 
We jamaa ume wa mislead watu hapa, kwanza lift ikizidi uzito haifungi, pili mi nilikuwepo eneo la tukie na kusaidia majeruhi... lift ni mbovu na ilikua kwenye majaribia yasiyozingatia taratibu watu waliokuwemo ni saba na si 10.

Tatizo la lift hapo ni la muda mrefu saana ivo si mazoea ya watu kama usemavyo
Aliye mislead ni mleta mada
 
Kupatwa na hofu kwenye lift ni jambo la asili kabisa. Huwa tunajifunza baadaye kuacha kuogopa umbali.

Hofu za asili kwa wanadamu ni mbili tu; umbali mrefu (height) na kelele kali (noise). Hofu nyingine zoooooote tunajifunzaga.

Hapo mwili ulisoma ghafla 'Upo JUU NA UNA HATARI YA KUDONDOKA' ndo maana defence zikakick in fasta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli nilipiga ukunga wa nguvuu achaa tyuuh yaan.
 
Tuna matatizo sana unakuta umeandikiwa idadi ya watu ni 7 nyie mnang'ang'ana muingie 12 ingetokea kifo watu waandike Mungu kawapenda zaidi Mungu yupi huyo

Ifike wakati tuache mazoea tufuate masharti kuepusha maafa na hasara zinazoweza kuepukika
Hilo eneo lifanyiwe maombi, jana mtu katoka ghorofa ya 7 hadi chini, leo lift toka ghorofa ya 10
 
Taarifa zinazotoka sio sahihi hata kidogo,waliokumbwa na kadhia hiyo ni watu saba tu,baada ya kuanguka mafundi walikuwa na waliifungua lift na waliotolewa ni 7 tu,na imeanza kuporomoka toka ghorofa ya 14.
 
Tobaaaaaah toka 14 hadi chini?? Miguu iko salama kweliii?? [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Aliye mislead ni mleta mada
Habari imepostiwa ki mkakati kutunza image ya mashirika ya serikali... sasa na wewe ulitakiwa ujenge hoja kichwani je watu 10 ni wengi au la ?? Kwenye jengo la ghorofa karibu 20 watakua na lift ya watu 7 kweli?? Na pia ni ghorofa ya 14 si ya 10
 
Back
Top Bottom