She Quoted you
JF-Expert Member
- Oct 19, 2020
- 687
- 1,184
Kabla ya hapo hawakuwahi?At least wame-experience force of gravity.
Haya ma lift kumbe siyo ya kuyaamini aisee...Miguu hamna wanaume wanalia ka watoto mzee usiombe
Geez,wamevunjika miguu?hapo bima ya jengo inasemaje kuhusu hao majeruhi?ni kampuni kubwa tu inayolimanage Hilo jengo🙏Wasaidie hawa ma bush lawyer... hii habari ni yakupikwa ukweli walikua watu saba tuu na wote wamevunjika miguu kama si dislocation ya mifupa yao maana mm ni miongoni mwa wakio saidia majeruhi
Naomba nicheke kidogo halafu tuendelee kuhuzunika soteNakumbuka hata lile jengo lililoanguka miaka ile Kariakoo design ilisema nondo za 16mm wakati wa Ujenzi wakaweka 10mm 🙌
Acha mzee nikuchukua tahadhari na kuomba Mungu tuu maana kuanguka ka hivi ni nadra ila kukwama na umeme kukatika inatokeaga sana kwenye malift na watu hufa kwa kukosa hewa mara nyingineHaya ma lift kumbe siyo ya kuyaamini aisee...
Hii ipo sana NigeriaMkuuu kuna mtu kasema watu walikata tiketi kwenye ndege mpaka wakawa wamejaa wakataka wasimame hivyo hivyo naomba wataaalamu mnisaidie jaman mbona sielewi😑😑
Wenyewe wasimamiz wa jengo wamewapeleka hapo kairuki nadhani watafanya kitu otherwise washurutishwe kisheriaGeez,wamevunjika miguu?hapo bima ya jengo inasemaje kuhusu hao majeruhi?ni kampuni kubwa tu inayolimanage Hilo jengo🙏
Kwanini MkuuNaomba nicheke kidogo halafu tuendelee kuhuzunika sote
Kwa wanaija nakubali, maana si kwa ubishi ule.Hii ipo sana Nigeria
🙄🙄🙄Tz ni nchi hovyo Sana! Kuna mwaka fulani walikata tiketi za ndege kuzidi siti, watz wakasema tunasimama! Mpk waliposhushwa kwa nguvu!
Ila Mungu anawaona jamani, [emoji23]At least wame-experience force of gravity.
Hata Hidery Plaza posta mpya miaka ya 2016 hapo walikuwa na kondakta wa kucontrol kabisa anashinda kwenye lift humo humo.Jengo la Ushirika Mnazi mmoja kulikuwa na Babu kaajiriwa kukubonyezea unaposhuka
lilikuwa linajaza haswa na yeye ndio ataamua pa kubonyeza
🤣Kwa wanaija nakubali, maana si kwa ubishi ule.
Engineer kuweka nondo ya mm 10 kwenye ghorofa ni chuo gani alisomeaKwanini Mkuu
Hata short Relationship ilitokea kwenye hiyo tukioKabla ya hapo hawakuwahi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ubaguz Sasa huuUkiingia kwenye lift za Dar, Kama Kuna majimama, hesabu kila jimama Ni watu watatu. Usije ukaingia kwa lift na jimama la pointment/chemba.