Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

Wasaidie hawa ma bush lawyer... hii habari ni yakupikwa ukweli walikua watu saba tuu na wote wamevunjika miguu kama si dislocation ya mifupa yao maana mm ni miongoni mwa wakio saidia majeruhi
Geez,wamevunjika miguu?hapo bima ya jengo inasemaje kuhusu hao majeruhi?ni kampuni kubwa tu inayolimanage Hilo jengo🙏
 
Kuzidisha watu sio sababu, lift ya kisasa yoyote ina "safety features", inatakiwa zikizidisha hata kilo 5 tu ya capacity yake inajikwamisha hapo hapo ilipo na inajipiga alarm.

Hapo itakua watu incompetent ndio wanafanya service na maintanance. Tenda za kujuana hizo.
 
Rushwa imetoka kwa wenye jengo plus wenye brand ya lift ili kulinda brand, jamaa wa moto kala bingo
 
Kwenye baadhi ya movie kunakuaga na watu wameajiriwa kucontrol hizo lift.

Anawasaidia wateja, na kubalance uzito usizidi.

Wabongo wengi bila kuwaongoza ni shida.
 
Back
Top Bottom