[emoji114][emoji114][emoji114][emoji1787]Mods huyu mtu apigwe Ban ya Maisha.Wabongo ni watu wa ku exceed limit,
Kijijini kwetu, Trip moja ya Toyota Noah peke yake ina uwezo wa kui level shabby.
Kauli mbiu yetu ni chombo ya Mzungu haijai...
Ole wako uniite muongo.
Mtu anadondoka floor ya kwanza tu na anavunjika mguuFun fact: did you know that the human bone is stronger than mild steel?? It can clock up to a strength of 60,000Nβ¦thatβs almost the weight of an african bush elephant
Hizi ni za kisasa ambazo hawa wamiliki wa majengo sababu ya kubana matumizi hawafungi.Mkizidi uzito inapiga alarm na hainyanyuki!! Hiyo ilikuwa mbovu tu!!
Unakuta jengo ni refu sasa utapanda floor ngapi. Mfano umeenda pale mafuta house unaenda floor ya 19.Ndiyo maana kuna baadhi yetu, huamua kufanya mazoezi kwa kutumia ngazi badala ya lift.
Kuna haja ufanyike uchunguzi kuhusu uimara wa hiyo lift badala ya kutoa conclusion kuwa shida ni Kuzidi hao watu 3.
Huenda cable hazikuwa na uwezo au vinginevyo.
Mkuuu kuna mtu kasema watu walikata tiketi kwenye ndege mpaka wakawa wamejaa wakataka wasimame hivyo hivyo naomba wataaalamu mnisaidie jaman mbona sielewiππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ikawajeee???
Breeak = kuvunjikaLift za kichina hizo.
Kuna lift pale mlimani hall two na five. Zikizidiwa zinajifunga break. Sasa wachina wa vodafasta hata jinsi ya kuweka break hawajui.
Sasa Inategemea uzito.Kuna chuo wanafunzi wanabanana kwenye lift hata 20
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo hawashindwii wallah.Mkuuu kuna mtu kasema watu walikata tiketi kwenye ndege mpaka wakawa wamejaa wakataka wasimame hivyo hivyo naomba wataaalamu mnisaidie jaman mbona sielewi[emoji58][emoji58]
Ndiyo maana kuna baadhi yetu, huamua kufanya mazoezi kwa kutumia ngazi badala ya lift.
Kuna haja ufanyike uchunguzi kuhusu uimara wa hiyo lift badala ya kutoa conclusion kuwa shida ni Kuzidi hao watu 3.
Huenda cable hazikuwa na uwezo au vinginevyo.
Sawa Mkuuumeandika mavimavi
Uko sahihi kuna kitu kimefichwa hapo,lift ikizidisha uzito haiwezi kuondoka,pili nyingine huwa inatoa alarm na vivile haiondoki,kuna possibility kubwa sana kuwa kulikuwa na kuto kufuatilia bolts and nuts zinazoshikilia hiyo lift hivyo kufikia kudondoka kutokana na uzito,waliozitengezeza wameshachukua tahadhari za kutosha na sio wajinga ki hivyo tunavyothaminishana hapa,NA ikiwa hiyo ndio sababu zitadondoka nyingi sana....Kuna uwezekano mkubwa ilikuwa na hitilafu kwenye zile cables, haiwezekani kwamba izidi watu 3 ambao ni wastani wa KG 210
Ni mleta habari..πroot course ndo yupi kwenye habari humo mkuu wangu
Tuondolee consipiracy zakoMission completed but not totally completed.
Msikae kusema et lift imefanyiwa maintenance hivi karibuni au kilienda kikarudi. Fuatilieni huko millennium tower kuna huduma gani na effect kwa taifa, fuatilieni ni wakina nani hao majeruhi na nafasi zao katika serikali na jamii.
#Letsusthinkindeep
Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
Unadhani walifanya nn kama sio kutubu na kuomba maombi makubwa? Wengine ukite mikojo ilitoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu acha basi kutuchekesha kwenye taarifa serious [emoji38]