Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

Wabongo ni watu wa ku exceed limit,
Kijijini kwetu, Trip moja ya Toyota Noah peke yake ina uwezo wa kui level shabby.
Kauli mbiu yetu ni chombo ya Mzungu haijai...

Ole wako uniite muongo.
[emoji114][emoji114][emoji114][emoji1787]Mods huyu mtu apigwe Ban ya Maisha.
 
Fun fact: did you know that the human bone is stronger than mild steel?? It can clock up to a strength of 60,000N…that’s almost the weight of an african bush elephant
Mtu anadondoka floor ya kwanza tu na anavunjika mguu

Yule chapombe alitokea juu ya jukwaa refu kama meza tu
 
Mkizidi uzito inapiga alarm na hainyanyuki!! Hiyo ilikuwa mbovu tu!!
Hizi ni za kisasa ambazo hawa wamiliki wa majengo sababu ya kubana matumizi hawafungi.

Lift za kisasa huwa zina sensor ambazo kama ikizingua kama hivyo ina mfumo wa brakes ambao huwa unashika katika reli nakuizuia kushuka kwa kasi inashuka taratibu hadi ground floor. Na kufunguka.
 
Ndiyo maana kuna baadhi yetu, huamua kufanya mazoezi kwa kutumia ngazi badala ya lift.

Kuna haja ufanyike uchunguzi kuhusu uimara wa hiyo lift badala ya kutoa conclusion kuwa shida ni Kuzidi hao watu 3.

Huenda cable hazikuwa na uwezo au vinginevyo.
Unakuta jengo ni refu sasa utapanda floor ngapi. Mfano umeenda pale mafuta house unaenda floor ya 19.
 
hakukuwa na factor of safety, kitaalam kwenye desing factor of safety inapaswa kuwa kubwa kidogo ili kuepuka madhara kama haya.
 
Elevator huwa zimewekewa maelekezo kuwa inabeba uzito kiasi gani bila shaka imeanguka baada ya kuzidiwa uzito, Sasa we muda wote uko Instagram kuangalia mangekimambi kaandika nini unashindwa kusoma maelekezo mnajazana kama mpo kwenye mwendo kasi kwanini isianguke?
Mungu asaidie tu wawe hai kuna funzo wamelipata
 
Mkuuu kuna mtu kasema watu walikata tiketi kwenye ndege mpaka wakawa wamejaa wakataka wasimame hivyo hivyo naomba wataaalamu mnisaidie jaman mbona sielewi[emoji58][emoji58]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo hawashindwii wallah.
 
Hawa majeruhi watakuwa wakiona lift matumbo yanapata moto plus wakiona wameingia kwenye lift halafu kuna watu wengi hawatakubali kupanda hata iweje.
 
Ndiyo maana kuna baadhi yetu, huamua kufanya mazoezi kwa kutumia ngazi badala ya lift.

Kuna haja ufanyike uchunguzi kuhusu uimara wa hiyo lift badala ya kutoa conclusion kuwa shida ni Kuzidi hao watu 3.

Huenda cable hazikuwa na uwezo au vinginevyo.

imenishangaza hiyo design, eti watu 3 zaidi waliozidi ndio waangushe lift?
 
Kuna uwezekano mkubwa ilikuwa na hitilafu kwenye zile cables, haiwezekani kwamba izidi watu 3 ambao ni wastani wa KG 210
Uko sahihi kuna kitu kimefichwa hapo,lift ikizidisha uzito haiwezi kuondoka,pili nyingine huwa inatoa alarm na vivile haiondoki,kuna possibility kubwa sana kuwa kulikuwa na kuto kufuatilia bolts and nuts zinazoshikilia hiyo lift hivyo kufikia kudondoka kutokana na uzito,waliozitengezeza wameshachukua tahadhari za kutosha na sio wajinga ki hivyo tunavyothaminishana hapa,NA ikiwa hiyo ndio sababu zitadondoka nyingi sana....
 
Mission completed but not totally completed.
Msikae kusema et lift imefanyiwa maintenance hivi karibuni au kilienda kikarudi. Fuatilieni huko millennium tower kuna huduma gani na effect kwa taifa, fuatilieni ni wakina nani hao majeruhi na nafasi zao katika serikali na jamii.

#Letsusthinkindeep

Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
Tuondolee consipiracy zako
 
Back
Top Bottom