Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Mbona kama fizikia inakataa.Dahha sijui ilikuwaje Kwa hao watu maana mwalimu wangu wa physics kipindi anatufundisha hayo mamba alisema cable ya lift ikikatika na kuanza ku fall down vichwa vya watu vinagusa paa la lift na migu inakuwa inalea elea tu
Kanuni za mwendo na inertia zinaelekeza hawa watu walikuwa wanasafiri kwa kasi moja na lift. Watapoteza uzito hawatasimama imara lakini hadi kufika kwenye paa I doubt.
Kwa sababu vitu vizito na vyepesi havina kasi ya kudondoka tofauti vyote vinavutwa kwa usawa 10ms2.
Tena tukichukulia na vitu kama ukubwa na ukinzani wa hewa, kunakuwa na uwezekano mkubwa hao watu wakadondoka chini kuliko 'kudondoka juu' unakokusema.