thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 850
- 1,134
🙌🙌🤣🤣Aya bana changamsha gengeNigeria hovyo sana, hata kuingia kwenye ndege mnakimbizana kuwahi seat kama tunavyopanda daladala Mbagala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙌🙌🤣🤣Aya bana changamsha gengeNigeria hovyo sana, hata kuingia kwenye ndege mnakimbizana kuwahi seat kama tunavyopanda daladala Mbagala
Uwii kuvunjika miguu tena[emoji848][emoji15]Wasaidie hawa ma bush lawyer... hii habari ni yakupikwa ukweli walikua watu saba tuu na wote wamevunjika miguu kama si dislocation ya mifupa yao maana mm ni miongoni mwa wakio saidia majeruhi
Sipati picha viungo vyao[emoji848]Taarifa zinazotoka sio sahihi hata kidogo,waliokumbwa na kadhia hiyo ni watu saba tu,baada ya kuanguka mafundi walikuwa na waliifungua lift na waliotolewa ni 7 tu,na imeanza kuporomoka toka ghorofa ya 14.
Pole yao jamani[emoji26]Miguu hamna wanaume wanalia ka watoto mzee usiombe
Nikuondolee wewe na nani? Acha ukoro na mazoea fanya yako.Tuondolee consipiracy zako
Hahaaa nlitaka kusema hivyo ,kitu kikitokea dar dhana ya ushamba haiwezi kuongelewaIngetokea huku Mwanza kwetu mamaaaaaaa[emoji1787][emoji23] tungekomaje?? Mngetuita kila jina la kishamba!
Nawatakia uponaji wa haraka majeruhi!!!
Nani unahisi atakuwa na jukumu la kuhesabu wenzake!? Hili nadhani Sio rahisi, Machine yenyewe ni rahisi kutambua uzito kuzidi na kutoa alarm ya kupungua watu, ila hapo ni uzembe, au lack of qualified technical personnel, au pia ni inferior quality ya lift machine,Pole sana kwa majeruhii, ni muhimu kufuata instruction manual kama imesema watu 10 basi ni hao,
Pia wenye jengo wasisahau kuwaita osha kwa ajili ya ukaguzi, lakini pia maintenance ya mara kwa mara ni muhimu
Hatariii tupuu yaan.Nakumbuka pale hall 5 ilikuwa inainuka kwa kuchechemea sana, kamba kule juu zipo hoi
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] duuh polee zao, yaan mie lift naziogopa mnoo bas tyuuhMiguu hamna wanaume wanalia ka watoto mzee usiombe
Lift nyingi uzito ukizidi haitembei. Kuna jambo linafichwa hapa si bureNdiyo maana kuna baadhi yetu, huamua kufanya mazoezi kwa kutumia ngazi badala ya lift.
Kuna haja ufanyike uchunguzi kuhusu uimara wa hiyo lift badala ya kutoa conclusion kuwa shida ni Kuzidi hao watu 3.
Huenda cable hazikuwa na uwezo au vinginevyo.
Ni sahihi Mkuu, ngoja tusubiri majibu ya ripoti yaoLift nyingi uzito ukizidi haitembei. Kuna jambo linafichwa hapa si bure
Serious, kule ndivyo walivyo, ustaarabu ni 0🙌🙌🤣🤣Aya bana changamsha genge