Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Leo ni jumanne ya pasaka toka mwokozi wetu YESU KRISTO afufuke
Hii nimeleta kama taarifa kuwa rift za majengo ya Victoria plaza jengo lililopo mataa ya Morogoro road na Samora street ni mbovu sana na mda wowote litauwa watu
Jengo lingine ni jengo la twiga house rift ya hili jengo inabeba watu wengi kuliko uwezo wake na ni mbovu pia nayo itauwa watu mda si mrefu
Rift za jengo la salamander au GSM ndo rift bora zaid ulimwenguni ni rift kiwango na ni kubwa sana na ikiwa inatembea ni ngumu kujua kama inatembea au imesimama
Kwa jengo hili na rift hizi ubalikiwe sana GSM umetisha sana
Hao wengine kabla hawajauwa watu warekebishe rift zao
Asanten
LONDON BOY