KERO Lift za Majengo ya Victoria Plaza na Twiga House (Posta) ni mbovu, zitakuja ziue watu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu wateja wasumbufu boss mwenyewe msumbufu yaan shida tupu inabidi tu utumie lift ili uwahi
lakini kwanini watu mnaingia kwneye lift ilioandika angalizo la idadi ya watu kwa maana ya uwezo wake,lift nyingi zina alert warning imekaa pembeni imetulia inakuangalia inaonyesha idadi ya watu kuingia lakini bado watu mnajazana
 
Ni kweli mkuu nimeona majengo mengi rift zake Zina limit ya watu 8-12 lakini kibongo bongo unakuta lift imeshona watu 16
 
Hivi lift za jengo la life house
Zina hali gani sahv

Ova
Zinasikitisha majuzi nimetoka hapo hata umeme hazina hazifanyi kazi. Kipindi fulani zilikuwa zinafanya kazi ila zinastuka kama trekta.
 
Long time nlikuwa napiga chuo hapo kilikuwepo cha Insitute of management &info tech nlipiga advance pale,mara nyingi nlikuwa natumia ngazi tu
Maana lift zilikuwa majanga mara zinafanya mara hazifanyi sasa miaka hiyo je sahv itakuwaje,majengo mengi no service aise

Ova
 
Zinasikitisha majuzi nimetoka hapo hata umeme hazina hazifanyi kazi. Kipindi fulani zilikuwa zinafanya kazi ila zinastuka kama trekta.
Kuna mzee alikuwa anakaa kwenye lift nje yaani watu wakipanda anawapanga kama mnaingia kwenye daladala

Hili jengo NIC hawafanyi kabisa service limechoka balaa, vyoo vyake ndio usiseme yaani hamna kitu kabisa. Sikuhizi kuna chuo sijui cha mabaharia au nini huwa naona madogo wanasoma hapo.
 
Back
Top Bottom