Hata hiyo Victoria plaza sijaijua ya posta nilidhani iko victoria Bagamoyo road.Twiga plaza ndiyo jengo gani,maana mjini nishaanza kupasahau
Ovaβ
Lile liko opposite na NHC house Samora?Jengo flan liko samora limepakana na mwalimu bank
mkuu unakaza sana kama teacher wa hisabati ππRift
sijaelewa tu mkuu nimejua rift ya UFA π€mkuu unakaza sana kama teacher wa hisabati ππ
Victoria plaza itakuwa ile ya mbele kutokea tanzanite buildingHata hiyo Victoria plaza sijaijua ya posta nilidhani iko victoria Bagamoyo road.
Makutano ya Taa za Morogoro rd na Samora kuna jengo la Harbor views labda ndio hilo.
πππ nimeisoma hiyosijaelewa tu mkuu nimejua rift ya UFA π€
uwe makini mkuu tumia ngazi kwa afya yakoHapana liko jiran na rainbow hotel
Mimi ni kijana wa posta haya majengo huwa napeleka misosi ndo maana nayajua sana
Hivi lift za jengo la life houseHapana liko jiran na rainbow hotel
Mimi ni kijana wa posta haya majengo huwa napeleka misosi ndo maana nayajua sana
Rift kama ufa kwenye majengo nayo kuna namna inaleta maana , japo kwenye mpangilio wa sentensi yake inaleta mushkeli π€πππ nimeisoma hiyo
una miaka mingapi hujakanyaga mjini,mji umebadilika mkuuTwiga plaza ndiyo jengo gani,maana mjini nishaanza kupasahau
Ovaβ
Huku daslam kama huna michongo ya maana utanyoka tu mkuu bora baki huko huko tuSisi ambao tupo huku kimperepeme wala hatuzijui hizo lifti!!!! Acha ziwauwe, kwani hamuwezi kutembea mkafanya mazoezi kidogo? kumbe ndio mambo ya daslamu ?