lakini kwanini watu mnaingia kwneye lift ilioandika angalizo la idadi ya watu kwa maana ya uwezo wake,lift nyingi zina alert warning imekaa pembeni imetulia inakuangalia inaonyesha idadi ya watu kuingia lakini bado watu mnajazanaMkuu wateja wasumbufu boss mwenyewe msumbufu yaan shida tupu inabidi tu utumie lift ili uwahi
Sijashambulia mkuuMgerasi unashambulia sana
Ni kweli mkuu nimeona majengo mengi rift zake Zina limit ya watu 8-12 lakini kibongo bongo unakuta lift imeshona watu 16lakini kwanini watu mnaingia kwneye lift ilioandika angalizo la idadi ya watu kwa maana ya uwezo wake,lift nyingi zina alert warning imekaa pembeni imetulia inakuangalia inaonyesha idadi ya watu kuingia lakini bado watu mnajazana
Zinasikitisha majuzi nimetoka hapo hata umeme hazina hazifanyi kazi. Kipindi fulani zilikuwa zinafanya kazi ila zinastuka kama trekta.Hivi lift za jengo la life house
Zina hali gani sahv
Ova
Long time nlikuwa napiga chuo hapo kilikuwepo cha Insitute of management &info tech nlipiga advance pale,mara nyingi nlikuwa natumia ngazi tuZinasikitisha majuzi nimetoka hapo hata umeme hazina hazifanyi kazi. Kipindi fulani zilikuwa zinafanya kazi ila zinastuka kama trekta.
Kuna mzee alikuwa anakaa kwenye lift nje yaani watu wakipanda anawapanga kama mnaingia kwenye daladalaZinasikitisha majuzi nimetoka hapo hata umeme hazina hazifanyi kazi. Kipindi fulani zilikuwa zinafanya kazi ila zinastuka kama trekta.
Hili jengo NIC hawafanyi kabisa service limechoka balaa, vyoo vyake ndio usiseme yaani hamna kitu kabisa. Sikuhizi kuna chuo sijui cha mabaharia au nini huwa naona madogo wanasoma hapo.Kuna mzee alikuwa anakaa kwenye lift nje yaani watu wakipanda anawapanga kama mnaingia kwenye daladala
Ova