Lighter Touch: Ule uvumi ungenoga hivi leo

Wapinzani tz wamekuwa kama mateja sio wakuwaamini, wamekuwa mateja wa kuokota habari, sera hawana wamekuwa watu wa matukio ya kipuuzi ili kuzua taarukitaaruki
Wanaona ikulu ni sehemu rahisi rahisi tu! Mtahangaika ila ikulu mtapasikia kwenye bomba.
Jikazi kama gari LA dizeli likipandisha mlima lkn ikosiku hata baba ako mzazi utamkataa kisa malipo ya buku saba
 
Kwahiyo unataka kusema malaika mkuu hakuugua siyo?au huwa haugui eti makamongo?
 
Mosi, Rais kila siku yuko kazini, kama akiwa likizo taarifa inatolewa, lakini kama amepumzika au ana Mafua unataka taarifa itolewe kuwa Rais Leo amepumzika ana mafua? Binafsi nimepongeza sana kitendo cha kukaa kimya dhidi ya umbeya wa Mitandaoni, pia nimepongeza Rais kuonekana kwa wakati muhafaka kuwaapisha wateule wapya.na Kuwaaibisha wajinga wachahche ambao wanatambulika na wenye nia ovu washindwe kwa jina la Yesu. Uvumi kama ni wa uongo una hathari gani?
Pili, Kwani kulikuwa na ubaya wa Rais kupumzika baada ya ziara ndefu ya kazi?au Kuendelea na kazi zingine kimya kimya? Au kulikuwa na dhamira ovu ambayo unaijua na ulitarajia?Mbona siku zote hatuna ratiba kamili ya anachofanya kila siku, bali yale matukio muhimu yenye tija kwa Taifa, ambayo hulazimika kuonekana na taarifa hutolewa kabla.
 
We can come up with all kinds of scenarios, assumptions, and what ifs, or justifications, but deeply the nation is polarized and there is such a need for a national dialogue instead of mockery. Denial ain’t a solution at all.

The Nation is ok. But if you are talking als a cheap politician whose interests are directed to personal gains. Then you are right.

I thought you would have been mature enough to habe Adressed the issue of cheap politics conducted by people such as Zitto, and Fatuma karume to mention them but a few. Instead you sound as usual „mchumia tumbo“. Tanzania kama kweli unaijua hatuhitaji Siasa za majukwaani. We want results. Kuiga iga kufikie mwisho. Tunajijua tuanaongea sana. Na Hii mitandao imetufanya wajinga badala ya kujua na kutambua „ what Tansania needs“ now. Work work work.


Rudi vor 2015. pita maofisini. Siasa mwaka Mzima. Ok Rudi wakati wanasiasa Wanakata mitaa. Matusi tu. Hakuna la kusema tulimeje nk. So think well brother
 
Jikazi kama gari LA dizeli likipandisha mlima lkn ikosiku hata baba ako mzazi utamkataa kisa malipo ya buku saba
Bombocrat note ndiyo unaopakatwa! Kama wewe unaona 7k ni hela wenzio ni hela ya kupata steem za herb asubuhi, f"k'n d'g
 
Ni wiki sasa hajatokea hadharani,
 
Rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…