Lighter Touch: Ule uvumi ungenoga hivi leo

Lighter Touch: Ule uvumi ungenoga hivi leo

We can come up with all kinds of scenarios, assumptions, and what ifs, or justifications, but deeply the nation is polarized and there is such a need for a national dialogue instead of mockery. Denial ain’t a solution at all.

Is that how it works? when calling for national dialogue by spreading false information?
 
Ikulu iache kufanya mambo ya msingi

Ijibu tetesi za waliosema rais alikuwa ujerumani leo na wakataja had chumba alichokuwepo?

Tunapiga kazi, hatuna muda wa kujibu kila mnachozusha, lengo lenu linajulikana ni kututoa kwenye reli
Mbona inasikiliza umbea kwenye simu za watu kama watu wanamsengenya rais? Na huyo raisi mbona anarudha vijembe na mipasho? Nafikiri kukanusha tetris ni muhimu kuliko hayo niliyoyataja, nano ananisengenya ili nirudishe kwa vijembe hapo ikulu ina nafasi
 
Kaka
Watu wenye chuki wanafahamika, Statistic zingine we huna, ukweli huna? Mi ni muhangaikaji napita sehemu nyingi, watu wanaomkubali ni wengi sana, yale maeneo yenye mawazo mtambuka hayajabadilika, yalikuwa na yanaendelea kuwepo, sehemu ndogo sana ya watu wana mawazo kama yako, kwa hiyo ukikutana na kukaa na watu wenye mawazo kama yako unajiaminisha hayo unayoyasema kaka.
Kama anakubalika kwa nini ana bana free press na kukandamiza vyama vya upinzani? Huwezi kuongelea statistics zozote wakati hakuna level play ground ya political activities. Na wote unaosema umepata maeneo umelinganisha Magufuri na kivuli au CCM na sifuri.
 
We can come up with all kinds of scenarios, assumptions, and what ifs, or justifications, but deeply the nation is polarized and there is such a need for a national dialogue instead of mockery. Denial ain’t a solution at all.
Sure...
 
Zitto, Maria Tsehai Sarungi, Ansbert Ngurumo, Evarist Chahali, Godbless Lema, Vincent Mashinji na ndugu yao Kigogo...watu Wa ajabu sana

Wewe mwenyewe ni wa ajabu lakini hujisemi,siasa isifanye umchukie mtanzania mwenzako kwa sababu ya itikadi.umenielewa wew Asha?
 
Mkuu
Napenda kutofautiana na wewe, je ni chombo gani cha habari ulikisikia kimezungumza lolote?
Unataka kurugenzi ya mawasiliano iwe inajibizana na wapuuzi wachache kwenye social media? Itakuwa na mambo mangapi ya kujibizana, we mwenyewe unajua kuwa watu wanatembea na viwanda vya uwongo midomoni mwao, kiasi gani cha uongo kinazungumzwa kila siku mitandaoni? Kwahiyo Kurugenzi ihamie kwenye mitandao na kujibizana na wapuuzi wachache?
Nimesema kujibu kiweledi kuua uvumi huo. Njia mbona nyingi tuu! Nikuwa active tuu kwa tukio lolote la kawaida litakalo muonyesha Rais au tamko lake.
Haiwezekani amalize ziara ndefu ile halafu atoweke protokali ya kawaida ya kuaga Lindi na kurudi Dar ivunjwe halafu walaumiwe watu wa majungu na unafiki wakati wame watengenezea story kwa ukimya?
 
Aliyempiga risasi Lissu ni unknown.
Na kama ni serikali basi possibly ilikuwa na sababu za muhimu....
Na ndio maana mimi ni mpinzani nisiyetegemea kuonewa na sijawahi kuonewa.

Yaani serikali iwe na sababu za muhimu ndio impige risasi mbunge wake? Makubwa haya!
Nimekushangaa sana.
 
Siyo kweli bro. People wako pissed off badly!! Pita kwenye social media nenda kasome vizuri. Hata vijiweni watu walikuwa wana wish for a bad thing.

Ni wakati kama kweli yule tuliyemuona ni yeye akirekebishe. No body loves him except proxy mercenaries
Social media wako watanzania wangapi mpaka uone kama wengi wanachuki? Mnafika hata elfu tatu?
 
There is nothing wrong for a country to be polarized. That is the nature of politics and government. You would not expect the whole country to be of single mindedness like automatons! Politics by its very nature is disruptive and divisive. I don't have any problem for people opposing Magufuli or not liking his leadership style or ideas.. that is part of politics! The only way we can have an "almost" united nation is to be like China or Cuba... single party, single leader, single direction.. no dissent, no divisions...
CHINA is not politically united, but as you had put, politics by its nature is disruptive and divisive. Now can you ask president Magufuri to respect that fact and focus on governance.
 
Social media wako watanzania wangapi mpaka uone kama wengi wanachuki? Mnafika hata elfu tatu?
Kama hujui concepts za population, representation, mean, mode, standard deviation, sampling, sample frame, sample size huna capacity ya kuchangia hoja hii. Soma pita mbali!!
 
Back
Top Bottom