Lighter Touch: Ule uvumi ungenoga hivi leo

I wholeheartedly concur. We need to reconsider the state our unity as a nation. Something has gone wrong and we need to fix it asap before things turn sourer!
We can come up with all kinds of scenarios, assumptions, and what ifs, or justifications, but deeply the nation is polarized and there is such a need for a national dialogue instead of mockery. Denial ain’t a solution at all.
 
National dialogue na "wahuni " ambao wengine tulifikiri wanajielewa? Wewe umetumia kipimo kipi?
Et national dialogue na akina Zito,Fatuma hahahahahahah. Hawa ni mwendo huu huu hadi wanyoke.
 
Still you escape the fact mnaendeleza vijembe vilevile hatutibu tunazidi kubomoa raisi kapata narrow picture ya wananchi anao waongoza na kilichopandwa na yeye kwa chuki zake
 
We can come up with all kinds of scenarios, assumptions, and what ifs, or justifications, but deeply the nation is polarized and there is such a need for a national dialogue instead of mockery. Denial ain’t a solution at all.
"To win a girl, lie and denial" so denial sometime is solution
 
Idadi ya 'wanaomhitaji' aendelee kuongoza ni ile ile. Tunamuombea kwa Mungu amjalie afya njema pamoja na hekima ya kuliunganisha taifa ambalo tayari kwa jujua au kutokujua ameligawa. Asipobadilika katika kauli na matendo yake hali itaendelea kuwa mbaya.
Pamoja na mapungufu yake, leo nimegundua waTz wengi bado wanamhitaji aendelee kuwaongoza......
 
Ule uvumi umetufundisha mambo mengi; lakini kubwa ni kuwa mashine ya kuchakatia uzushi ilichakata sana jana.. lakini leo imeshindwa kuendelea. Baada ya Rais wa Watu kutokea leo akiwa na afya njema na kufanya kitu ambacho watu walitakiwa kukidhania kingefanyika (baada ya kufanya uteuzi) basi ule uvumi ulitakiwa ubadilike na kunogeshwa namna hii...

Kwa mfano,

Huyu wa leo siyo Magufuli ni double wake. Si unajua kila Rais ana "double" wake yaani mtu anayefanana naye kwa kila namna. Na huyu double tunaweza kusema alienda akafanyiwa "plastic surgery" huko Cuba na amekuwa akitumika mara kwa mara...

Kwamba, baada ya kuugua alikimbizwa Afrika ya Kusini, ambako alipanda ndege ya mwendo kasi hadi Ujerumani alikofanyiwa matibabu, halafu akapandishwa ndege nyingine ya haraka na kurudi Ikulu Dar ambako alipokelewa kwa njia ya siri kupitia mlango ulioko baharini - akitokea meli ya nyambizi (submarine)..

Kwamba, tukio la leo kwa kweli halikuwa "live" ila lilirekodiwa kabla hajaugua na kuwa limeunganishwa vipande vipande kidigitally. Rais mwenyewe ameendelea mapumzikoni huko pembezoni mwa Milima ya Alps, Uswisi.

Yaani, ukishaamua kutunga uongo usiishie njiani, endelea nao hadi uonekane ni ujinga na watu wachukulie kama ni burudani fulani. Nje ya hapo jambo kubwa la kujifunza ni kuwa Rais Magufuli ule ulinzi labda hautoshi... kuna watu siyo tu wanaweza kuwa wanapanga mabaya, lakini wanayaombea, wanayasubiria, na kila waendapo kulala wanayaotea...

Ila ule uzushi ungenoga kama leo ungeendelea kidogo kuleta mantiki maana nilivyoona anashabikia sambusa na wasaidizi wake kama kuna kuumwa basi labda alipiga chafya tu kubwa watu wakashtuka na "kiwanda cha uvumi" kikaingia kazini.. Yaani, mtu hata kiungulia asipate.. na hakuna aliyefikiria hata ile connection ya suala la DPP uzito wake?

Sasa rais jamani hata chafya asipige. "Tuambiwe haraka alipiga chafya kubwa kiasi gani" , "Ni raisi wetu sote tunataka kujua kwa haraka... "

We unaonaje huu uvumi ungenoga noga vipi leo baada ya Jeuri ya Rais kuonekana leo..?
Kikubwa kaonekana hadharani na kakata mzizi wa fitna.
 
Wapinzani tz wamekuwa kama mateja sio wakuwaamini, wamekuwa mateja wa kuokota habari, sera hawana wamekuwa watu wa matukio ya kipuuzi ili kuzua taarukitaaruki
Wanaona ikulu ni sehemu rahisi rahisi tu! Mtahangaika ila ikulu mtapasikia kwenye bomba.
Hakuna mpinzani aliezusha,hao wapinzani wanahangaika na uchaguzi
 
Siyo kweli bro. People wako pissed off badly!! Pita kwenye social media nenda kasome vizuri. Hata vijiweni watu walikuwa wana wish for a bad thing.

Ni wakati kama kweli yule tuliyemuona ni yeye akirekebishe. No body loves him except proxy mercenaries
Endeleeni kujidanganya, uliona ikulu TV youtube wangapi walisubscribe online na zile commenrs. Proxy mercenaries ndio mamnchukia sababu ya vyeti vyenu feki.
Shuhudia 2020
 
Si la kucheka ila kuna watu wamebobea kuvumisha... na wanaochekesha ni washabiki wa uvumi...

Hasa Sky Eclat alitoa hadi na tarehe na salam.

Akajitahidi kuspin ila kwa sasa pengine yupo chini ya uvungu wa kitanda anahesabu nyota kwenye shimo refu lenye giza.

Hana la kusema zaidi ya kujutia credibility na reputation yake if she cares.
Used to respect her, not anymore, just another bish
 
Ule uvumi umetufundisha mambo mengi; lakini kubwa ni kuwa mashine ya kuchakatia uzushi ilichakata sana jana.. lakini leo imeshindwa kuendelea. Baada ya Rais wa Watu kutokea leo akiwa na afya njema na kufanya kitu ambacho watu walitakiwa kukidhania kingefanyika (baada ya kufanya uteuzi) basi ule uvumi ulitakiwa ubadilike na kunogeshwa namna hii...

Kwa mfano,

Huyu wa leo siyo Magufuli ni double wake. Si unajua kila Rais ana "double" wake yaani mtu anayefanana naye kwa kila namna. Na huyu double tunaweza kusema alienda akafanyiwa "plastic surgery" huko Cuba na amekuwa akitumika mara kwa mara...

Kwamba, baada ya kuugua alikimbizwa Afrika ya Kusini, ambako alipanda ndege ya mwendo kasi hadi Ujerumani alikofanyiwa matibabu, halafu akapandishwa ndege nyingine ya haraka na kurudi Ikulu Dar ambako alipokelewa kwa njia ya siri kupitia mlango ulioko baharini - akitokea meli ya nyambizi (submarine)..

Kwamba, tukio la leo kwa kweli halikuwa "live" ila lilirekodiwa kabla hajaugua na kuwa limeunganishwa vipande vipande kidigitally. Rais mwenyewe ameendelea mapumzikoni huko pembezoni mwa Milima ya Alps, Uswisi.

Yaani, ukishaamua kutunga uongo usiishie njiani, endelea nao hadi uonekane ni ujinga na watu wachukulie kama ni burudani fulani. Nje ya hapo jambo kubwa la kujifunza ni kuwa Rais Magufuli ule ulinzi labda hautoshi... kuna watu siyo tu wanaweza kuwa wanapanga mabaya, lakini wanayaombea, wanayasubiria, na kila waendapo kulala wanayaotea...

Ila ule uzushi ungenoga kama leo ungeendelea kidogo kuleta mantiki maana nilivyoona anashabikia sambusa na wasaidizi wake kama kuna kuumwa basi labda alipiga chafya tu kubwa watu wakashtuka na "kiwanda cha uvumi" kikaingia kazini.. Yaani, mtu hata kiungulia asipate.. na hakuna aliyefikiria hata ile connection ya suala la DPP uzito wake?

Sasa rais jamani hata chafya asipige. "Tuambiwe haraka alipiga chafya kubwa kiasi gani" , "Ni raisi wetu sote tunataka kujua kwa haraka... "

We unaonaje huu uvumi ungenoga noga vipi leo baada ya Jeuri ya Rais kuonekana leo..?
Uhytettujjuers
 
Back
Top Bottom