Lighter Touch: Ule uvumi ungenoga hivi leo

Lighter Touch: Ule uvumi ungenoga hivi leo

Watu walikua wanashikilia remote kila mda wakisubiri kujibiwa na msemaji wa serikali ili wapate political mails.
 
I wholeheartedly concur. We need to reconsider the state our unity as a nation. Something has gone wrong and we need to fix it asap before things turn sourer!
MATAGA cant see it in a big picture due to their myopic nature.
 
Kwa akili ya kiwango cha chini twaweza kuwaona waajabu sana lakini sio hivyo!

Aliye anzisha huo uvumi naweza kusema kashinda kwa maksi za juu sana.

Kwanza kaonyesha UBOVU NA UDHAIFU wa kurugenzi ya habari Ikulu. Hii kurugenzi ina sifa za kukanusha haraka sana mambo ya kijinga lakini imeshindwa kukanusha hili la kuugua au kutoa taarifa. Maana hata kama Rais hakujisikia vizuri kwa uchovu mbona wangeweza kujibu haraka kuwa kazidiwa uchovu kwa kazi za mfululizo na pole angezipokea na sifa ya kufanya kazi kwa bidii!

Pili wameruhusu hisia mbaya kuhusu Rais wetu kupata nafasi kuenezwa maana hata hao waliokuwa wanaombea mabaya sio kusemea hawana hoja, wanazo tena nzito na wamepata nafasi ya kuzisema kwa wazi zaidi.

Hao mnaowataja wameongea kwenye mijadala hiyo kama mihemko tuu, lakini wapo waliokuwa kwenye mkumbo huo wakumuombea mabaya na wako karibu naye kabisa huku nyuso zao zikicheka naye ila mioyo haipo naye.

Daa Haya maneno mazito sana
Umenikumbusha siku Mugabe amepepesuka na walinzi wake wakawa wanamuangalia tu mpaka anaanguka
That was very nasty sikuamini macho yangu
All in all tuombeane mema daima
 
Siyo kweli bro. People wako pissed off badly!! Pita kwenye social media nenda kasome vizuri. Hata vijiweni watu walikuwa wana wish for a bad thing.
Ni wakati kama kweli yule tuliyemuona ni yeye akirekebishe. No body loves him except proxy mercenaries
We ni mtu mwongo sana, unatamani chuki yako huwaambukize wengine, Mimi nilikuwepo sehemu tofauti katika muda wa siku 3, watu wengi walikuwa wanaendelea na shughuli zao wala hawana habari za Rais, watu wenye shida sana ni watu walioko kwenye social media ndio walikuwa wanaangaika, ambao wengi wanafahamika ni watu gani.
 
Mtu aliemchakaza Tundu Lissu tena mwenye familia na watoto wanaomtegemea kwa risasi zaidi 36 kama NGURUWE PORI.

Halafu akatumia BUNGE, MAHAKAMA na SERIKALI yote kupambana naye akiwa HOI BIN TAABANI.

= = => Mungu tu atahukumu Kwa HAKI.

R.I.P AKWILIMA Kwenu Masikini Hakuna Anaejali.

Wao Wanao Wa Kuwapigania Na Kuwaabudu Mpaka Madhabahuni.

===> BEN SAANANE na AZORY GWANDA najua hamna hatia na FAMILIA ZENU "ZINAWAMISS" SANA
 
Pamoja na mapungufu yake, leo nimegundua waTz wengi bado wanamhitaji aendelee kuwaongoza......
Ingawa binafsi simpendi lakini nilianza kujiuliza maswali mengi ambayo nilikosa majibu na hasa kujiuliza kama mbadala wake atayaweza?? kilichofuata kwa mara ya kwanza ilikuwa kusherehekea pale nilipomuona live akiwa afya tele... mwacheni aliyo yaanzisha ayamalize………..mnaozusha achene kabisaa mtatulazimisha tunao mchukia kumkubali
 
Mkuu katika hili bila kumung'unya maneno wajinga ni kurugenzi ya mawasiliano kushindwa kutoa taarifa sahihi kwa wakati na kuruhusu tetesi kuzaa uhasama na njozi mbaya.
Kwani tokea juzi wangejibu kiaina yote haya yangetokea?
Kurugenzi isafishwe na kuwekwa wenye utaalamu sio wanaofanyakazi kama idara ya Polepole.
Mkuu
Napenda kutofautiana na wewe, je ni chombo gani cha habari ulikisikia kimezungumza lolote?
Unataka kurugenzi ya mawasiliano iwe inajibizana na wapuuzi wachache kwenye social media? Itakuwa na mambo mangapi ya kujibizana, we mwenyewe unajua kuwa watu wanatembea na viwanda vya uwongo midomoni mwao, kiasi gani cha uongo kinazungumzwa kila siku mitandaoni? Kwahiyo Kurugenzi ihamie kwenye mitandao na kujibizana na wapuuzi wachache?
 
We ni mtu mwongo sana, unatamani chuki yako huwaambukize wengine, Mimi nilikuwepo sehemu tofauti katika muda wa siku 3, watu wengi walikuwa wanaendelea na shughuli zao wala hawana habari za Rais, watu wenye shida sana ni watu walioko kwenye social media ndio walikuwa wanaangaika, ambao wengi wanafahamika ni watu gani.
The hate is real usifanye mzaha!! Ila kwa nyie msio na uwezo wa kuchanganua mambo hamuwezi kuiona.

Hebu mwambie aache uhuru wa vyombo vya habari waandike kama wakati wa Awamu ya 4 na aruhusu vyama vya upinzani vifanye kazi yake kadri ya katiba. Nakuhakikishia Magufuri hawezi kupata hata hata 10%.
Hiyo 10% Ni watu wa Mkoa wa Geita na sehemu kidogo ya lake zone na Watanzania wachache waliozoea kuchagua CCM. Jana Zitto Kabwe kafunika Kigoma kichizi maana yake.

Unajidanganya sana kwa kuwa watu wanaogopa kusema chuki zao wazi wazi kwa kuwa wamekuwa wanatekwa na kuuliwa. Na vyombo vya habari vinashtakiwa au kufungiwa leseni.

Jiwe nguvu yake iko kwenye POLICE, TPDF na NEC lakini siyo kwenye umma.
 
Unajidanganya sana kwa kuwa watu wanaogopa kusema chuki zao wazi wazi kwa kuwa wamekuwa wanatekwa na kuuliwa. Na vyombo vya habari vinashtakiwa au kufungiwa leseni.
Jiwe nguvu yake iko kwenye POLICE, TPDF na NEC lakini siyo kwenye umma.
Kaka
Watu wenye chuki wanafahamika, Statistic zingine we huna, ukweli huna? Mi ni muhangaikaji napita sehemu nyingi, watu wanaomkubali ni wengi sana, yale maeneo yenye mawazo mtambuka hayajabadilika, yalikuwa na yanaendelea kuwepo, sehemu ndogo sana ya watu wana mawazo kama yako, kwa hiyo ukikutana na kukaa na watu wenye mawazo kama yako unajiaminisha hayo unayoyasema kaka.
 
Kwakwel ile habar ilikuwa mbaya sana kwangu,mpaka nilikuwa najiskia kama machozi yananilenga,hakika mh rais kazi anaifanya sio siri,sasa sijui tunataka rais wa aina gan Tanzania hii kama sio magufuri wa kutunyoosha na kuwa na nidhamu ya ela.viva mag viva mag live long mag[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Back
Top Bottom