Kwahiyo hawa Morocco hata mashindano ya Chan watakuwa wa Moto.Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7.
1. Moroccan Botola Pro
2. Egyptian Premier League
3. Algerian Ligue 1
4. South African PSL
5. Tunisian Ligue 1
6. DR Congo’s Linafoot
7. Tanzanian Premier League
8. Angola’s Girabola
9. Sudan Premier League
10. Guinea.
Unahisi ligi ipi haikutakiwa kuwepo top 10 na ipi imekosekana??
Morocco wasingekuwa wabaguzi ningewashabikia lakini kwa kuwa wanajifanya wao wazungu hivyo wakafie mbali!
Kumbuka mashindano ya kombe la dunia ilikuwaje mpaka Captain wa timu ya Morocco kukaripiwa!
Morocco wasingekuwa wabaguzi ningewashabikia lakini kwa kuwa wanajifanya wao wazungu hivyo wakafie mbali!
Linafoot haikuchezwa kabisa msimu wa 2022/2003 huo ubora umepimwa vipi wakati ligi haikuchezwa kwa kukosa mdhamini ?Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7.
1. Moroccan Botola Pro
2. Egyptian Premier League
3. Algerian Ligue 1
4. South African PSL
5. Tunisian Ligue 1
6. DR Congo’s Linafoot
7. Tanzanian Premier League
8. Angola’s Girabola
9. Sudan Premier League
10. Guinea.
Unahisi ligi ipi haikutakiwa kuwepo top 10 na ipi imekosekana??
Siyo suala la inferiority bali ndiyo ukweli. Captain alisema Morocco siyo nchi ya kiafrika ila ni nchi ya Ulaya hivyo kushawishi ijitoe CAF.
Weka evidence hapa, sio kuongea tu na kufurahisha gengeKumbuka mashindano ya kombe la dunia ilikuwaje mpaka Captain wa timu ya Morocco kukaripiwa!
Ulitaka Kizimkazi awe hapo sita? Huoni wakongo walivyojazana kwenye ligi yetu?Hiyo ya DRC kuwa ya 6 hapana kuna alakini ktk hii list!
Siyo suala la inferiority bali ndiyo ukweli. Captain alisema Morocco siyo nchi ya kiafrika ila ni nchi ya Ulaya hivyo kushawishi ijitoe CAF.
Sudan inakaa vipi hapo wakati hata haichezwi? Siasa za maji ya chooni hiziHii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7.