Ligi bora Afrika msimu wa 2023/2024

Ligi bora Afrika msimu wa 2023/2024

Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7.

1. Moroccan Botola Pro
2. Egyptian Premier League
3. Algerian Ligue 1
4. South African PSL
5. Tunisian Ligue 1
6. DR Congo’s Linafoot
7. Tanzanian Premier League
8. Angola’s Girabola
9. Sudan Premier League
10. Guinea.

Unahisi ligi ipi haikutakiwa kuwepo top 10 na ipi imekosekana??
Hvi we ulitumia data gan au kigezo gani kwenye hii rank yako
Nani asiyejua kua ligi ya tz ndo ya 5 kwa ubora baran africa sasa
 
Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7.

1. Moroccan Botola Pro
2. Egyptian Premier League
3. Algerian Ligue 1
4. South African PSL
5. Tunisian Ligue 1
6. DR Congo’s Linafoot
7. Tanzanian Premier League
8. Angola’s Girabola
9. Sudan Premier League
10. Guinea.

Unahisi ligi ipi haikutakiwa kuwepo top 10 na ipi imekosekana??
Sudan wamecheza lini ligi
 
Back
Top Bottom