Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Duhh fingers crossed mkuu! ahsante kwa kunijuza.
teh teh teh na mwadui lazima ipande hata kwa mbinde..
Mechi ya Majimaji na Friends Ranger ambayo ilivunjika baada ya mchezaji wa majimaji kufunga kwa mkono
Hata hivyo uwanja hakuwa staiki kuchezewa game kulikuwa na mvua kubwa
Majimaji yarejea ligi kuu
Matawi ya simba hayo ila waambie kuwa shina lao limeanza kukauka, sasa na hayo matawi yatachipuwa na kukauka.
Kila la kheri Toto Africans
ndio inaongoza kundi..
game ya toto na geita yavunjika baada ya geita kugomea penat
hoyaga na ng'wadui united..