Ligi Daraja la Kwanza 2014/15, updates hapa

Ligi Daraja la Kwanza 2014/15, updates hapa

Mechi ya Majimaji na Friends Ranger ambayo ilivunjika baada ya mchezaji wa majimaji kufunga kwa mkono
Hata hivyo uwanja hakuwa staiki kuchezewa game kulikuwa na mvua kubwa
 
Mechi ya Majimaji na Friends Ranger ambayo ilivunjika baada ya mchezaji wa majimaji kufunga kwa mkono
Hata hivyo uwanja hakuwa staiki kuchezewa game kulikuwa na mvua kubwa

Ndo wampige refa sasa?


Refa badae alikataa na kusema Sio goli.
 
Ni baada ya kamisaa kusema kweli cyo goli.

Uwanja ulikujaa maji kiasi kwamba mpira uwezi kudunda
Alama za uwanja zote zilikuwa zimefutika isitoshe mechi toka imeanza kulikuwa na mpango kazi ambao ulipangwa na kamati ya marefa mpaka mpira unavunjika dk35 team ya friends Ranger ilikuwa aijafika golin
Yaan hata ukimpiga beki chenga iyo ni offside
Kwahiyo hata friends Ranger ingecheza


Kulikuwa amna fairplay nina clip moja ila nashidwa jinsi kuapload ungeona.
Soka letu cjui litaweza kupiga hatua kwa namna hiii.
 
Kwa yeyote aliye karibu na viwanja ambapo mechi hizi zinachezwa, atujuze matokeo

Today First Division League (FDL)
KMC FC Vs African Lyon ( Mkwakwani)
Kurugenzi FC Vs African African Sports Club ( Mufindi)
Majimaji FC Vs JKT Mlale FC ( Majimaji)
Kimondo FC Vs Friends Rangers FC ( CCM Vwawa)
Ashanti United Vs Villa Squad FC ( Karume)
Polisi Dar Vs Lipuli ( Mabatini)

TUJUZANE
 
Matawi ya simba hayo ila waambie kuwa shina lao limeanza kukauka, sasa na hayo matawi yatachipuwa na kukauka.


Hakuna tawi la simba

Majimaji ni shina lenyewe,hakuna undugu hapo,subiri uone watakapofanyiwa mbaya kama watasalia ligi kuu
 
Hadi dakika ya 55 Mwadui FC 2-0 Polisi Tabora. Matokeo ya mwisho sijayapata.
 
Back
Top Bottom