shabhibhii nafwa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 300
- 148
Wakishinda Leo?
wameshapanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakishinda Leo?
una mashetani huenda unaishi wod ya vichaa kwa taarifa yako mcc fc tujipanga kubeba ndoo. utatupenda hata kwa tabu
Hadi dakika ya 55 Mwadui FC 2-0 Polisi Tabora. Matokeo ya mwisho sijayapata.
So bado haijululikani nani atapanda?Toto mechi imevunjika, Oljoro kashinda still mechi za MWISHO itaamua mshindi!! Juzi watu walitoka town kwenda Maganzo kucheki mechi, Naona wana shy wameanza kujipendekeza! Ila Stand haishuki! Na ikishuka bora nishabikie Boko Haram FC.
Hadi mbunge wao Seleman Nchambi Ni mshabiki wa Stand SIO Mwadui
So bado haijululikani nani atapanda?
Vipi msinmamo wa top 3?
Toto mechi imevunjika, Oljoro kashinda still mechi za MWISHO itaamua mshindi!! Juzi watu walitoka town kwenda Maganzo kucheki mechi, Naona wana shy wameanza kujipendekeza! Ila Stand haishuki! Na ikishuka bora nishabikie Boko Haram FC.
Hadi mbunge wao Seleman Nchambi Ni mshabiki wa Stand SIO Mwadui
Majimaji naona wamejiunga na Afrikan Sports, hongera Deo Corleone na Lizaboni
Siwapendi Toto, lakini bora wapande hao kuliko vikosi vya majeshi...
Siwapendi Toto, lakini bora wapande hao kuliko vikosi vya majeshi...
oljoro Jkt atapanda hata Kama hupendi
Naitakia kila la kheri Toto African kwenye mechi yao ya mwisho washinde.
Wewe poti kwani?
sio POT. ila naipenda
Aah!
Wale wakifungwa wanaletaga ubabe bwana...
ubabe unatokana na hujuma zinazofanyiwa na
timu za kiraia hizo.kama hao mwadui wana hujuma sana