Ligi Daraja la Kwanza 2014/15, updates hapa

Hadi dakika ya 55 Mwadui FC 2-0 Polisi Tabora. Matokeo ya mwisho sijayapata.

Toto mechi imevunjika, Oljoro kashinda still mechi za MWISHO itaamua mshindi!! Juzi watu walitoka town kwenda Maganzo kucheki mechi, Naona wana shy wameanza kujipendekeza! Ila Stand haishuki! Na ikishuka bora nishabikie Boko Haram FC.
Hadi mbunge wao Seleman Nchambi Ni mshabiki wa Stand SIO Mwadui
 
So bado haijululikani nani atapanda?

Vipi msinmamo wa top 3?
 
So bado haijululikani nani atapanda?

Vipi msinmamo wa top 3?

Mwadui FC mechi 21 point 43, Oljoro mechi 21 point 41, toto alikuwa na point 39 mechi ya 21 imevunjika na hapo bado mechi MOJA MOJA
 
Toto mechi imevunjika, Oljoro kashinda still mechi za MWISHO itaamua mshindi!! Juzi watu walitoka town kwenda Maganzo kucheki mechi, Naona wana shy wameanza kujipendekeza! Ila Stand haishuki! Na ikishuka bora nishabikie Boko Haram FC.
Hadi mbunge wao Seleman Nchambi Ni mshabiki wa Stand SIO Mwadui

Hata mimi mzaliwa wa hukohuko, siipendi Mwadui hadi Julio aondoke.
 
Back
Top Bottom