Ligi kuu 2023/24, Timu zipi ni matawi ya Yanga na Simba

Simba ndiyo wamevunja rekodi! Coastal Union, Namungo, Ihefu, Mtibwa, nk. Ahueni Azam wao wameamua kujitoa kwenye huo upuuzi.

Kwa upande wa Yanga..... naona kama wana kaukaribu hivi na Singida United (Big stars/fountain gate)!! Sijui ni yule jamaa anayeitwa Madelu ndiyo amesababisha!!!
 
Aahaaaaa
 
Back
Top Bottom