Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

Mkuu NGANU, Hunizidi mimi ninavyoichukia mikia fc!! wapigwe tu leo, Coast timu funga hiyo mikia goal 2-0.


Mkuu mkolaj utabiri wako wa jana utafanya kazi leo na watu wa manungu watatoka vichwa chini.
 
Last edited by a moderator:
simba haiwez na haitoweza shuka daraja. hilo halihitaji kutumia nguvu kulifafanua.
 

tupo kwenye kipindi cha mpito
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooool Kick!
 
tupo pamoja wadau hatuachani. tupo tukiwashangilia dar young africans. kama kawaida nipo nimempakata bantu lady huku tunacheck naye kabumbu.
 
tupo pamoja wadau hatuachani. tupo tukiwashangilia dar young africans. kama kawaida nipo nimempakata bantu lady huku tunacheck naye kabumbu.

Wewe kikaragosi ukuje huku, miguu imekutepeta umpakate nani hovyooo..
Tumewafunga mdomo na mtaendelea na sare mpaka mtie akili wewe Komeo Lachuma.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…