Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

Mkuu NGANU, Hunizidi mimi ninavyoichukia mikia fc!! wapigwe tu leo, Coast timu funga hiyo mikia goal 2-0.


Mkuu mkolaj utabiri wako wa jana utafanya kazi leo na watu wa manungu watatoka vichwa chini.
 
Last edited by a moderator:
simba haiwez na haitoweza shuka daraja. hilo halihitaji kutumia nguvu kulifafanua.
 
Wakati nasoma Physics, miaka ilee, nilijifunza hii Law:

The body will continue in its state of rest or uniform motion in a straight line unless it is compelled to change that behaviour by an externaly applied force.

Kwa kanuni hii:

Simba itaendelea na mwenendo wa kuchonga madroo katika mstari ulionyooka na hivyo kuendelea katika nafasi za chini za msimamo wa ligi mpaka hapo mabadiliko ya uongozi yatakapofanyika.

RIP Simba Sports Club.

CC. Masuke, sembo, Ngarna, grafani11, Viol, Revocatus Kashaga, Crashwise, Amavubi, Katavi na mikia wote waliokimbia jukwaa tangu kale.

tupo kwenye kipindi cha mpito
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooool Kick!
 
tupo pamoja wadau hatuachani. tupo tukiwashangilia dar young africans. kama kawaida nipo nimempakata bantu lady huku tunacheck naye kabumbu.
 
tupo pamoja wadau hatuachani. tupo tukiwashangilia dar young africans. kama kawaida nipo nimempakata bantu lady huku tunacheck naye kabumbu.

Wewe kikaragosi ukuje huku, miguu imekutepeta umpakate nani hovyooo..
Tumewafunga mdomo na mtaendelea na sare mpaka mtie akili wewe Komeo Lachuma.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom