Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

Bantu lady una maneno sana. mpira una matokeo matatu . kushinda.kutoa draw,kufungwa. hapo hatuna haja ya kumtafuta mchawi kama yanga. sisi tunatengeneza team ya miaka miwili ijayo na ndo maana unaona usajili wetu ni wa watoto wadogo wakisaidiwa kidogo na wakongwe.simba mtakuja kuipenda tu. na ndo maana sisis tunaangalia mbele. so si mbaya kuondoka na point moja. tunasonga mbele. tunaendelea kukirekebisha kikosi.
 
Kama mnatengeneza timu ya miaka miwili mnashiriki ligi ya nini?Si msubiri tu mje mshiriki 2017?,,,,teh!
 
Bantu lady una maneno sana. mpira una matokeo matatu . kushinda.kutoa draw,kufungwa. hapo hatuna haja ya kumtafuta mchawi kama yanga. sisi tunatengeneza team ya miaka miwili ijayo na ndo maana unaona usajili wetu ni wa watoto wadogo wakisaidiwa kidogo na wakongwe.simba mtakuja kuipenda tu. na ndo maana sisis tunaangalia mbele. so si mbaya kuondoka na point moja. tunasonga mbele. tunaendelea kukirekebisha kikosi.

Majigambo yenu ndio yanatufanya tuwazodoe, kama jana ungeandika hivi, leo tusingehangaika nawe hata kidogo.

Huu ni mwaka wa 3 si tu mnapishana na kikombe bali mmekosa nafasi ya uwakilishi kimataifa.

Sasa umefika wakati wa kuwahurumia badala ya kuwacheka maana mnapoteza uelekeo pole pole lakini kwa uhakika.
 
Ee Mungu baba tunaomba usituache tuaibike kesho, tunaomba ushindi.
Wale wapinzani wetu wao wanagombea kushuka daraja, sisi tunagombania kupata ubingwa.
Tunaomba timu ya Mtibwa sugar, walegee sisi tunaomba ushindi wa kishindo kesho.
Ili hili jukwaa liendelee kuwa na amani, wale mashabiki maandazi waendelee kujificha Amina...
 
Mods funga uzi tusonge na michakato mingine

Wakati nasoma Physics, miaka ilee, nilijifunza hii Law:

The body will continue in its state of rest or uniform motion in a straight line unless it is compelled to change that behaviour by an externaly applied force.

Kwa kanuni hii:

Simba itaendelea na mwenendo wa kuchonga madroo katika mstari ulionyooka na hivyo kuendelea katika nafasi za chini za msimamo wa ligi mpaka hapo mabadiliko ya uongozi yatakapofanyika.

RIP Simba Sports Club.

CC. Masuke, sembo, Ngarna, grafani11, Viol, Revocatus Kashaga, Crashwise, Amavubi, Katavi na mikia wote waliokimbia jukwaa tangu kale.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe mtani anazidi kuzama kutoka nafasi ya 8 hadi ya 9 katika msimamo.
 
Bantu lady una maneno sana. mpira una matokeo matatu . kushinda.kutoa draw,kufungwa. hapo hatuna haja ya kumtafuta mchawi kama yanga. sisi tunatengeneza team ya miaka miwili ijayo na ndo maana unaona usajili wetu ni wa watoto wadogo wakisaidiwa kidogo na wakongwe.simba mtakuja kuipenda tu. na ndo maana sisis tunaangalia mbele. so si mbaya kuondoka na point moja. tunasonga mbele. tunaendelea kukirekebisha kikosi.

Eti sisi tunatengeneza timu ya miaka miwili ijayo ndio maana usajili wetu wa vijana wadogo wakisaidiwa na wakongwe kidogo!!!!! Hivi ninyi na timu kama chelsea, man united, barcelona, arsenal, au real madrid nani wana academy bora ya kulea hao vijana!? mbona arsenal wakifanya vibaya hatumsikii arsene wenger akisema kuwa timu yake ni ya vijana hivyo anaiandaa kwa ajili ya miaka miwili ijayo!!! ninyi na azam nani wana academy bora!, kwann azam wakamsajili pascal wawa, kavumbagu au hata domayo!??
 
Mwaka 1988 mtani huyu huyu wakati anakukuruka kuomba msaada wa kuokolewa kwenye hatari ya kuzama baharini sisi watani zake tukajitoa muhanga kumuokoa mtani mwenzetu lakini baada tu ya kufika nchi kavu akaanza kututukana na kuongea maneno mengi ya kejeli. Mwaka huu tena mtani ameanza kuzama kwenye bahari taratiiiibu, anarudia yale yale ya mwaka 1988, Je, tumuokoe tena ili aendelee kututukana au mwaka huu tumwache azame ili akaliwe na wanyama wa baharini!? Ila mtani akifa maji nani tutataniana nae!?
 
Walibahatisha bonanza la Mapinduzi, ligi imewashinda. Tuko mzunguko wa pili sasa, wanapitia mle mle walikopita mzunguko wa kwanza hivyo ile kanuni ya Newton wanaitekeleza kwa vitendo.
 
... naye hadanganyi wala hadanganyiki, yeye ni mwaminifu.

Asante Mungu kwa matokeo ya leo.

Ninalo ombi moja tu, saidia kesho Yanga iifunge Mtibwa Sugar, kwa heshima ya jina lako, maana tunaokutegemea tukifungwa, wewe unaonekana ni Mungu usiyeweza, lakini tunaposhinda sifa na utukufu tunakurejeshea wewe. Asante kwa kuwa umesikia na utatenda kwa kadri ya mapenzi yako; na kila asomaye aseme: AMINAAAA!

AMEEEN...... Maana Ukimtegemea MUNGU Wewe Ni Wa Ushindi Tu, Yeye Hakuna Jambo Linalomshinda,
 
Ee Mungu baba tunaomba usituache tuaibike kesho, tunaomba ushindi.
Wale wapinzani wetu wao wanagombea kushuka daraja, sisi tunagombania kupata ubingwa.
Tunaomba timu ya Mtibwa sugar, walegee sisi tunaomba ushindi wa kishindo kesho.
Ili hili jukwaa liendelee kuwa na amani, wale mashabiki maandazi waendelee kujificha Amina...

AMEEN...MUNGU Amesikia Kilio Chetu.
 
Mwaka 1988 mtani huyu huyu wakati anakukuruka kuomba msaada wa kuokolewa kwenye hatari ya kuzama baharini sisi watani zake tukajitoa muhanga kumuokoa mtani mwenzetu lakini baada tu ya kufika nchi kavu akaanza kututukana na kuongea maneno mengi ya kejeli. Mwaka huu tena mtani ameanza kuzama kwenye bahari taratiiiibu, anarudia yale yale ya mwaka 1988, Je, tumuokoe tena ili aendelee kututukana au mwaka huu tumwache azame ili akaliwe na wanyama wa baharini!? Ila mtani akifa maji nani tutataniana nae!?

Tunamzamisha kabisa, asionekane tena VPL mwaka mzima au zaidi.
 
Bantu lady una maneno sana. mpira una matokeo matatu . kushinda.kutoa draw,kufungwa. hapo hatuna haja ya kumtafuta mchawi kama yanga. sisi tunatengeneza team ya miaka miwili ijayo na ndo maana unaona usajili wetu ni wa watoto wadogo wakisaidiwa kidogo na wakongwe.simba mtakuja kuipenda tu. na ndo maana sisis tunaangalia mbele. so si mbaya kuondoka na point moja. tunasonga mbele. tunaendelea kukirekebisha kikosi.

Hao Unaowaita Vijana Walikuwepo Kwenye Ligi Tangu Miaka 3 Iliyopita..., Au Unawazungumzia Vijana Kama Akina Okwi, Maserunkuma, Juuko, Maguli???
 
usitutie majaribuni

Back
Top Bottom