Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau naomben matokeo ya chamazi mcc fc vs jkt ruv
Bantu lady una maneno sana. mpira una matokeo matatu . kushinda.kutoa draw,kufungwa. hapo hatuna haja ya kumtafuta mchawi kama yanga. sisi tunatengeneza team ya miaka miwili ijayo na ndo maana unaona usajili wetu ni wa watoto wadogo wakisaidiwa kidogo na wakongwe.simba mtakuja kuipenda tu. na ndo maana sisis tunaangalia mbele. so si mbaya kuondoka na point moja. tunasonga mbele. tunaendelea kukirekebisha kikosi.

Mods funga uzi tusonge na michakato mingine

Kumbe mtani anazidi kuzama kutoka nafasi ya 8 hadi ya 9 katika msimamo.
Eti sisi tunatengeneza timu ya miaka miwili ijayo ndio maana usajili wetu wa vijana wadogo wakisaidiwa na wakongwe kidogo!!!!! Hivi ninyi na timu kama chelsea, man united, barcelona, arsenal, au real madrid nani wana academy bora ya kulea hao vijana!? mbona arsenal wakifanya vibaya hatumsikii arsene wenger akisema kuwa timu yake ni ya vijana hivyo anaiandaa kwa ajili ya miaka miwili ijayo!!! ninyi na azam nani wana academy bora!, kwann azam wakamsajili pascal wawa, kavumbagu au hata domayo!??
... naye hadanganyi wala hadanganyiki, yeye ni mwaminifu.
Asante Mungu kwa matokeo ya leo.
Ninalo ombi moja tu, saidia kesho Yanga iifunge Mtibwa Sugar, kwa heshima ya jina lako, maana tunaokutegemea tukifungwa, wewe unaonekana ni Mungu usiyeweza, lakini tunaposhinda sifa na utukufu tunakurejeshea wewe. Asante kwa kuwa umesikia na utatenda kwa kadri ya mapenzi yako; na kila asomaye aseme: AMINAAAA!
Ee Mungu baba tunaomba usituache tuaibike kesho, tunaomba ushindi.
Wale wapinzani wetu wao wanagombea kushuka daraja, sisi tunagombania kupata ubingwa.
Tunaomba timu ya Mtibwa sugar, walegee sisi tunaomba ushindi wa kishindo kesho.
Ili hili jukwaa liendelee kuwa na amani, wale mashabiki maandazi waendelee kujificha Amina...
Mwaka 1988 mtani huyu huyu wakati anakukuruka kuomba msaada wa kuokolewa kwenye hatari ya kuzama baharini sisi watani zake tukajitoa muhanga kumuokoa mtani mwenzetu lakini baada tu ya kufika nchi kavu akaanza kututukana na kuongea maneno mengi ya kejeli. Mwaka huu tena mtani ameanza kuzama kwenye bahari taratiiiibu, anarudia yale yale ya mwaka 1988, Je, tumuokoe tena ili aendelee kututukana au mwaka huu tumwache azame ili akaliwe na wanyama wa baharini!? Ila mtani akifa maji nani tutataniana nae!?
Bantu lady una maneno sana. mpira una matokeo matatu . kushinda.kutoa draw,kufungwa. hapo hatuna haja ya kumtafuta mchawi kama yanga. sisi tunatengeneza team ya miaka miwili ijayo na ndo maana unaona usajili wetu ni wa watoto wadogo wakisaidiwa kidogo na wakongwe.simba mtakuja kuipenda tu. na ndo maana sisis tunaangalia mbele. so si mbaya kuondoka na point moja. tunasonga mbele. tunaendelea kukirekebisha kikosi.
Tunamzamisha akabisa, asionekane tena VPL mwaka mzima au zaidi.
Wakati nasoma Physics, miaka ilee, nilijifunza hii Law:
The body will continue in its state of rest or uniform motion in a straight line unless it is compelled to change that behaviour by an externaly applied force.
Kwa kanuni hii:
Simba itaendelea na mwenendo wa kuchonga madroo katika mstari ulionyooka na hivyo kuendelea katika nafasi za chini za msimamo wa ligi mpaka hapo mabadiliko ya uongozi yatakapofanyika.
RIP Simba Sports Club.
CC. Masuke, sembo, Ngarna, grafani11, Viol, Revocatus Kashaga, Crashwise, Amavubi, Katavi na mikia wote waliokimbia jukwaa tangu kale.