Shamba la bibi mnapoteanaYanga hawezi kuwa bingwa msimu huu
Hii ni Null hypothesis.simba wapo vizuri msimu huu kulilko timu yoyote. haya ni maoni yangu.
Unaweza ukafafanua zaidi hii statement yako? Karibu tafadhali...Yanga hawezi kuwa bingwa msimu huu
Great Thinker...Hii ni Null hypothesis.
Alternative hypothesid ni:
Simba hawako vizuri.
Ndio ngonjera zenu hizo kila mwanzo wa msimu,baadae mambo yakibadilika mnabadilisha wimbo kuwa Yanga inabebwa na kununua matches.Yanga hawezi kuwa bingwa msimu huu
google ipoHizi zile stream za Azam TV bado zinafanya kazi ?
Utashuhudia mwisho wa msimu.Ndio ngonjera zenu hizo kila mwanzo wa msimu,baadae mambo yakibadilika mnabadilisha wimbo kuwa Yanga inabebwa na kununua matches.
Hahahaaah hawapo vizuri kama simba Na azam..!Unaweza ukafafanua zaidi hii statement yako? Karibu tafadhali...
Update plz
Mdau ufafanuzi wako bado umepwaya, nilitegemea ungegusa yale maeneo ya kiufundi na badala ya maneo ya kishabiki.Hahahaaah hawapo vizuri kama simba Na azam..!
Asante
OK shukran mkuuMilango bado migumu mkuu, sasa ni kipindi cha mapumziko..