Ligi kuu Bara: Azam FC Vs Simba SC

Ligi kuu Bara: Azam FC Vs Simba SC

Tambwe kishafanya yake mwadui huko,nilisikiaga kila tambwe akifunga uongozi wa mikia unakaa kikao cha dharura
 
Piga mikia haoooo
a.k.a Mbumbumbu FC a.k.a wamatopeni FC.
 
Hizi zile stream za Azam TV bado zinafanya kazi ?
 
Kila nikiiona simba nakumbuka jinsi ilivyokula hela za msiba,btw kila la kheri azam,kule mwadui mume wa ligi keshafanya yake
 
Back
Top Bottom