Moja bilaKwenye matokeo ya kambarage plz
kaa kimya kama hutak kutoa matokeoMoja bila
Nimempenda mkeo vipi unakaa mitaa gani nije kupanga karibu na wewe.😀😀
matokeo vpnashauri hii thread isiingiliwe na kirusi cha simba na yanga!AZAM FC IDUMU MILELE!
Mnaumia 2 - 1, amini usiamini
mbona hamtaj matokeo?Sioni simba watafungia wapi,wamebanwa sana.
OK shukran mkuu
asante mkuuDAKIKA YA 61
SIMBA O AZAM O
Reject HoHii ni Null hypothesis.
Alternative hypothesid ni:
Simba hawako vizuri.
kama umepata na Yanga tupia hapa mkuu maana wengine tupo shamba JF ndo tegemeo pekeeDAKIKA YA 61
SIMBA O AZAM O
Sawa mkuu japo nipo live na mechi ya Simba ila Yanga alikuwa anaongoza moja( nimeambiwa)kama umepata na Yanga tupia hapa mkuu maana wengine tupo shamba JF ndo tegemeo pekee