Ligi kuu Bara: Azam FC Vs Simba SC

Ligi kuu Bara: Azam FC Vs Simba SC

nashauri hii thread isiingiliwe na kirusi cha simba na yanga!AZAM FC IDUMU MILELE!
 
Ndugu yangu unachagua njia mbaya sana ya kufa. Unataka ufe kwa kumtaka mke wa mtu?kwa nini usinywe sumu tu.


Nimempenda mkeo vipi unakaa mitaa gani nije kupanga karibu na wewe.😀😀
 
Simba wanapapara sana ingekuwa tunaongoza

DAKIKA YA 64
BADO 0:0
 
Back
Top Bottom