OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Pole kwa mara nyingine.jana nimetandikwa na liver, leo angalau nipoze machungu kwa kumtandika simba...viva azam fc
Mkia Leo mmeona mwezi jitahid hivo hivo mtapta nafasi ya pili. Sababu mziki wa jangwan hamuuwez nyinyMpira umekwishaaaaaah,ila huyu Blagnon simpendi
nipo tayari kwa mkopo watford...hope watanifurahishaPole kwa mara nyingine.
Na kesho tunakukaribisha ushangilie WATFORD.
Akianza kutoka kwenye viwanja vya vumbi ataanza kusema TFF wanaipendelea YangaSIMBA YA MWENDO KASI.....MWENYE LIGI KARUDI
Hivi Simba wameshacheza nje ya Dar?...SIMBA YA MWENDO KASI.....MWENYE LIGI KARUDI
Vipi umerudi lini kimya kimya kujihusisha na maswala ya Simba chini ya utawala ule ule wa Aveva kinyume na kiapo chako hapa?
TUTAWAPIGA TU HAMNA NAMNAHivi Simba wameshacheza nje ya Dar?...
Inaonekana ndio umeanza kufuatilia hii ligi msimu huuTUTAWAPIGA TU HAMNA NAMNA