Ligi kuu Bara: Azam FC Vs Simba SC

Ligi kuu Bara: Azam FC Vs Simba SC

Mpira umekwishaaaaaah,ila huyu Blagnon simpendi
Mkia Leo mmeona mwezi jitahid hivo hivo mtapta nafasi ya pili. Sababu mziki wa jangwan hamuuwez nyiny
Mwaka Jana mlisema mchaw ni yule bek tusubiri mwaka huu mtasema nan
 
duh kweli hii wiki nimepatwa na tetemeko...azam#chels have all let me down this week
 
Libeva Yanga ndio kazoea viwanja vya ulaya hivi vya Tanzania Na afrika vinamsumbua sana
 
Kutoka uwanja wa Kambarage - Shinyanga:- Yanga wanakusanya point za mikoani kwanza...

FT

Mwadui FC 0-2 Yanga (Amis Tambwe, Donald Ngoma).

Tar 24/09/2016 ni Stand Utd Vs Yanga (uwanja wa Kambarage -Shinyanga).

Simba wataendelea kuwa Uwanja wa Uhuru wakiikaribisha Majimaji.
 
Vipi umerudi lini kimya kimya kujihusisha na maswala ya Simba chini ya utawala ule ule wa Aveva kinyume na kiapo chako hapa?

Lini nilisema kuwa sijihusishi na Simba chini ya Utawala wa Evans Elieza Aveva? Naomba kama una ushahidi " kuntu " kabisa tena wa Kimaandishi uuweke hapa vinginevyo utasababisha mengine halafu " tulaumiane " humu. Huwa sipendi " shobo " sawa?
 
Msimamo wa Ligi baada ya mechi za leo
vpltable.jpg
 
Back
Top Bottom