Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Tupia update ya mtibwa na yangaHadi kufikia mapumziko matokeo ni haya kwa Timu zote za Ligi KuuView attachment 2276540
Nan kafungaYanga 1 Mtibwa 0. Dk. ya 80
Ila wachezaji wa Yanga kama wako mazoezini vile. Naona wameyatumia vibaya mapumziko yao ya siku mbili.
Wakirudia haya masihara kwenye fainali, basi Coastal Union watatwaa ubingwa.
Vipi tayari au bado tusubiri kwanza..?? AU basiLeo Kibu anapiga hat trick yake ya kwanza
😁😁😁😁😁cha msingi Mpole afunge tu.
Sikuile GSM alimwaga mpunga wakutosha, nyie Mhindi wenu si Bahili.Pamoja na kuikomalia Simba, leo hii inagombea kutoshuka..!
Ahsante mpole. Atuwakklishe watanzania Kwa kweliGeorge Mpole...! Kama kawaida
mchezaji wetuNani amefunga goli Geita Gold FC?
Itatafutwa penati ya mchongo hapo kilazima mpaka mchizi atie kambaNkane anaipatia Yanga SC bao la kwanza.
Yanga SC 1-0 Mtibwa Sugar
Katetema mwaka mzima halafu kiatu anachukua mwingineItatafutwa penati ya mchongo hapo kilazima mpaka mchizi atie kamba
[emoji1787][emoji23]Katetema mwaka mzima halafu kiatu anachukua mwingine
🤣🤣🤣🤣Katetema mwaka mzima halafu kiatu anachukua mwingine