Ligi Kuu Bara | Mbeya Kwanza FC Vs Simba SC | Uwanja wa Majimaji | Juni 29, 2022

Ligi Kuu Bara | Mbeya Kwanza FC Vs Simba SC | Uwanja wa Majimaji | Juni 29, 2022

Yanga 1 Mtibwa 0. Dk. ya 80

Ila wachezaji wa Yanga kama wako mazoezini vile. Naona wameyatumia vibaya mapumziko yao ya siku mbili.

Wakirudia haya masihara kwenye fainali, basi Coastal Union watatwaa ubingwa.
 
Back
Top Bottom