Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Tuambie gemu ya yanga haijaisha tuDuuuh [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii sasa hatari yaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuambie gemu ya yanga haijaisha tuDuuuh [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii sasa hatari yaani.
hii inaitwa tuombe mwisho mwema😄😄😄😄😄😄🤣🤣🤣🤣
Akwende zake na msimu ujao sijui kama hata goli 7 atafikishaKatetema mwaka mzima halafu kiatu anachukua mwingine
😁😁😁😁 watu mnahasira!Akwende zake na msimu ujao sijui kama hata goli 7 atafikisha
Ila kwa kuwa hatujafunga mtasemaje?Kuna watu watapiga bomu mochwari na kujisifu wameua!
Mayele jaman katoboa???Ila kwa kuwa hatujafunga mtasemaje?
Labda atoboe sufuria la ujiMayele jaman katoboa???
So biashara kafnya biashara ya kushuka tayrFT: Yanga SC 1-0 Mtibwa Sugar
Mtibwa Sugar itacheza mechi ya mtoano na Tanzania Prisons kuwania kubaki Ligi Kuu
Amejitahidi Sana. Ajaribu Tena Msimu ujaoMayale kabakisha msimu mmoja arudi congo
Matokeo yapoje kwa Simba Sc?Wale mlioanza kumsifia matola, muwe mnaweka akiba ya maneno, Simba ni kubwa Sana kwa uwezo wa matola.
😂😂😂Huenda mambo yakawa magumu hata mbili asifunge kwake.. Ngoja Tusubiri
Bwana wee... Hata atempt 3 hanaVipi tayari au bado tusubiri kwanza..?? AU basi
Tumletee drill machine atoboe?Mayele jaman katoboa???
HayaAmejitahidi Sana. Ajaribu Tena Msimu ujao