Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

hao toto siwapendi jamani. lkn mwaka huu lazima tuwafunge.
aisee hawa jamaa huwa wanawasumbua sana...itabd tuwape motisha ili wwastopishe maana huo mwendo wenu ni balaa
 
Inabidi tushinde hii game na mbili zijazo then simba akakalie Mbao ili Timu ya wananchi Turudi kwenye usukani wetu
 
azam bado hawajapata nyekundu? tuntk kushbda sie aaaaaaaah
 
Dk 60,Yanga wanapata kona.

Dk 57, Yanga wanafanya mabadiliko, anaingiaGeofrey Mwashiuya, anatoka Deus Kaseke ambaye alikuwa upande wa winga wa kushoto.
Dk 55, Kangwa wa Azam anapata nafasi ya kupiga shuti kali langoni mwa Yanga lakini Dida analidaka.
Dk 53, Azam wanafanya shambulizi lingine lakini kipa wa Yanga, Deo Munis 'Dida' anaokoa.
Dk 50, Azam wanapiga pasi nzuri kuanzia katikati ya uwanja, wanalifikia lango la Yanga lakini mshambuliaji Thomas anashindwa kutumia nafasi anayopata, mabeki wa Yanga wanaokoa.
Dk 47, Mchezo umeanza kwa kasi ndogo, bado timu zote zinaonekana kusomana.
Kipindi cha pili kimeanza.
 
Yanga hatuna shida,mkichukua tunasema sisi tunaongoza kwa ubingwa,tena tunaanza kupaa
kwenda njeeeeeeeeeeeeeee
 
Another draw at our disposal gap analoenda nalo simba kubwa sana. Hii game inabidi tushinde juu chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…