sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Dawa ya hizi timu ni Kichuya tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Dawa ya hizi timu ni Kichuya tu.
aisee hawa jamaa huwa wanawasumbua sana...itabd tuwape motisha ili wwastopishe maana huo mwendo wenu ni balaahao toto siwapendi jamani. lkn mwaka huu lazima tuwafunge.
Kama Okwi akija nahis kuna timu zitahama ligi[emoji12] [emoji12]Hua nafikiri sana.. Hivi okwi akija itakuaje? Wapinzani inabidi wajiandae.
achana na historia wwSimba bingwa? Hata msimu uliopta mlisema hvhv
Stand hawez mziki wa simbaNi kweli ila nasubiri gemu ya simba na stand utd
Ndyo shidaa yenu subiri muanze kufungua madroo yenuLeo mnyama anawaangalia tu vitoweo vyake[emoji3]
Too late mkuuNdyo shidaa yenu subiri muanze kufungua madroo yenu
atashinda juaniAzam atashinda
kwani mmenunua mechi zote?Vyovyote itakavyokua.. Simba S.C ni bingwa wa VPL msimu huu.. Hili halina mjadala kabisa.
bora mbwa kuliko FISIAzam FC piga hao mbwa au vyura wa kaunda...ushindi leo ni lazima