Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

Dk 67, Kasi ya mchezo siyo kali, imepungua na mpira unachezwa zaidi katikati ya uwanja huku timu zote zikionekana kutegeana katika kufanya mashambulizi.
Dk 65, Msuva anaingia na mpira lakini anafanyiwa faulo na kiungo wa Azam, Migi.Dk 60,Yanga wanapata kona.Inapigwa kona lakini mabeki wa Azam wanaoko.
 
Too late mkuu
Too late huu ni mpira wa soka unadunda tunaweza kupigwa hat game tatu raundi ya kwanza ila ya pili mkaanza kufungua madroo yenu cye hatuna shida cuz ndyo wawakilishi wenu wa michezo ya kimataifa mwakani nanyi mnajaribu kupigania kwa miaka mingi ss karibuni
 
Dk 76, Mwamuzi Israel Nkono anasimamisha mchezo kwa muda, anazungumza na Thomas wa Azam ambaye alionekana kupandwa na hasira na kumfokea mwamuzi wa akiba baada ya kuutoa mpira na kuelekea langoni kwake akidhani ulitakiwa kuelekea upande wa Yanga.
 
Tumeshauri kitambo humu kwamba wachezaji wote wa azam watimuliwe , timu ianze upya .
 
Dk 80, Yanga wanafanya mabadiliko, Dante anatoka anaingia Nadir Haroub 'Cannavaro'. Dante aliumia baada ya kuchezewa faulo na kiungo wa Azam FC, Himid Mao.
Dk 78, Azam wanamtoa John Bocco, anaingiaFrancisco.
 
Dk 87, Azam wanafanya mabadiliko, anaingiaKhamis Mcha, anatoka Kangwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…