Wewe kiumbe upo?Umeweza kuangalia Auntie?
Huu huu wa jfUko upande gani?
Naangalia hapa hapa jf auntie yaani hii simba hiiUmeweza kuangalia Auntie?
I mean simba au yanga?Huu huu wa jf
Mimi simba mkuuI meani simba au yanga?
Wametafuta draw kwa tochi π€ π€Hongereni Kwa goal mikia
Kama nyie jana tuWametafuta draw kwa tochi [emoji1783][emoji1783]
Ndio njia yenu ya kupoza machunguHii KMC ni bora sana ... itaifunga Utopolo mapema..
Naona refa ameshapewa kibunda
Muzamiru Kila mpira back pass.Jamani huyu si ndiyo mnamuita Donkey?
Kwaiyo mnatuiga eeh πππ yanga mwalimu wenu na baba yenu tuKama nyie jana tu
Yana haribu vipi?Makampuni ya kubeti yanaharibu mpiraa
Ngoma draw [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwaiyo mnatuiga eeh [emoji3][emoji3][emoji3]
Akili hana uyoKwamba kuna uwezekano wakawa wanatoa hongo kwa timu kubwa zijiangushe ambazo wanaamini watu wengi wataibetia?
Ahahahah