Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me mwenyewe siwezi naangalia jf hii simba itatuua aiseeYaaaaaaanii....
Auntie Tangu ile siku Tulilazwa na mbili mimi kuangalia mpira wa Simba Live siwezi...Moyo wangu mdogo sana...
Tunawaiga utopolo mlivyofanya janaMakolo wanashangilia droo hapa 😂
Nilikuambia juzi....hii Timu siku moja Itatuua Aki....Leo mguu mmoja ndani mwingine nje aiseee niliacha kuangalia kwa muda.
Aki Wallah!!!! Hii Timu hii[emoji119]Me mwenyewe siwezi naangalia jf hii simba itatuua aisee
Ni kama vile tu Azam jana walicheza kandanda murua kabisa!Ki ukweli KmC wamecheza boli la uhakika mbona safari hiii kazi ippoooo
Bora Yanga walioamua kubaki hapa nchiniMbwembwe nyingi mmeenda kishiriki Bonanza lenu Sudan mkajiona mnatimu, nyinyi kubalini timu hamna.
Timu haina hata mipango ya kutafuta goli.
Totally cluelessHuja wahi notice hicho kitu?
Wewe unayejiita Director jana ulijificha humu JF hukuonyesha pua Yako kabisa.Aden Lage aliyekua mwenyekit wa Makolo ktk moja ya mkutano mkuu wa wanachama wa Makolo, aliwaita makolo ni "MAMBUMBUMBU" hivi nyie makolo na upumbav wenu huo mkikutana na Azam na mkikutana na Singida ya Mr Tozo, si mtakojolewa sana hadi mshindwe kutembea... Unatoaje sare na KMC team dhaifu 😅😂😅