National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Mmechomoa baada ya kuhonga 😀😀😀 mwaka huu mtachezea sanaVyura Kelele nyingi na jana wote Mlijificha....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmechomoa baada ya kuhonga 😀😀😀 mwaka huu mtachezea sanaVyura Kelele nyingi na jana wote Mlijificha....
Tayari umeshajinyea kwa woga mpaka sasaYani kwa sasa Azam ndo timu itakua inaendana endana na Simba utopolo mwaka huuu mtajinyea
Kama vile tu mlivyofanya jana.Mmechomoa baada ya kuhonga 😀😀😀 mwaka huu mtachezea sana
Kabisa wanatembea uwanjani, wanacheza kwa dharau yaani kama vile hawana Cha kupoteza ila yote ni management, naanza kuona ununuzi wa wachezaji wa mafungu sio kwa viwango tulivyoaminishwaDaaah hii timu itakuja kutoa watu roho kwakweli, daaah hapana viongozi wanatakiwa kujitafakari ase , wachezaji wanatakiwa pia kujitafakari, yaani wasenge wanalipwa mishahara tunaumia sisi ambao hata mia hatupati
Makolo mshakata tamaa na litimu leno bovu🤣🤣🤣Majayanti ya soka wanaoitwa wa kariakoo wameanza sare sare sasa. Watu wasipobebwa Azam anachukua ndoo msimu huuu
Pole sana kolo 😀😀 ndio vumilianeni.. Nae mtafukuza soonHii simba hii hatuna team huyu matola huyu anachezesha watu wake tu mxxiue
Hata lenu bovu tuuu sijaona impact ya litumu lenu mpk sasa. Ni kelele tuu bora sisi tunajua tuna udhaifu kwny kikosi ila nyie kujifanya full nondo kumbe hakuna kitu yaniMakolo mshakata tamaa na litimu leno bovu🤣🤣🤣
Aende tu pumbavu zake hata sub za zoran hazijui ye ni wazawa wazawa na yeyePole sana kolo [emoji3][emoji3] ndio vumilianeni.. Nae mtafukuza soon
Ndo watakapofumuliwa vile hawataamini macho yao kama vile man u ilivyowafumua watu juziMakolo mna timu mbovu sasa mkikutana na azam itakuwaje
Yenu screpa kama kmc tu kawatoa jasho je mkikutana na azam si mtapigwa nyingiHata lenu bovu tuuu sijaona impact ya litumu lenu mpk sasa. Ni kelele tuu bora sisi tunajua tuna udhaifu kwny kikosi ila nyie kujifanya full nondo kumbe hakuna kitu yani
Jana ilikua Derby ya Wanaume wa Tanzania... Game ilikua ya kiumeni... Nyie leo mmetia aibu...Wewe unayejiita Director jana ulijificha humu JF hukuonyesha pua Yako kabisa.
Hakuna jasho hapo ni kujiona kwao kwmba siku zote kmc ni vibonde wao ila hakuna cha jasho wala nini. Azam tutawafumua na nyie utopolo trh 23 tutawafumua vile vileYenu screpa kama kmc tu kawatoa jasho je mkikutana na azam si mtapigwa nyingi