Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israh yeye huwa anawaza kurudisha mpira nyuma tu, na yeye ndo ametukaba muda wote.Israh achunguzwe, kuna namna
Nafasi ya kapombe anacheza vizuri jimsoni mwanukeNafasi ya Kapombe acheze Kennedy, hadi atakapopona. Nafasi ya Inonga acheze Onyango.
Quattara anarekebishika ila sio Inonga. Kashajiona staa huyo.
Mipira yote ni kurudisha nyuma tu. Goli la kwanza ni ujinga wa kurudisha nyuma mpira tena mpira wa adhabu.
Unanikimbia kwanini lkn?Nipo Boss wangu...
Umepotea!!!!!
Sio mchepuko sema ni rafiki yetu damdam huna baya na mtu.Mie ndio mchepuko wao wa jf...🤣🤣🤣🤣
Sasa rafiki kesho tunakwea pipa kwenda malawi?Sio mchepuko sema ni rafiki yetu damdam huna baya na mtu.
Hyo kujinyea ni kazi ya vyuraTayari umeshajinyea kwa woga mpaka sasa
Usicheze na mzabzab utapigwa na kitu kizitoSio mchepuko sema ni rafiki yetu damdam huna baya na mtu.
Tutaingia tuu kwa kudra za Mnyazi Mungu mpira hauna wenyewe huu rafikiSasa rafiki kesho tunakwea pipa kwenda malawi?
Ila dah kweli tutaingia makundi kwa mpira huu?
Aaah chukua tahadhariSio mchepuko sema ni rafiki yetu damdam huna baya na mtu.
Sio mimi labda wengine. Ameshawapiga kina nani kwanza? Huyu ni mdomo tuu hana hizo tabia hata kama anazo mm na yy tunaheshimiana hahahaaaaUsicheze na mzabzab utapigwa na kitu kizito
Lakini hii misemo ya kudra za mwenyezi mungu nasikiaga africa tuu. Wazungu hawanaga hii misemo ila tukiingia uwanjani tunachezea vichapo tuu. Sasa ni kwamba wao mungu wao tofauti na wetu?Tutaingia tuu kwa kudra za Mnyazi Mungu mpira hauna wenyewe huu rafiki
Mambo ya humu msiyachukulie serious sanaAaah chukua tahadhari
Waafrica tuna mizaha sanaLakini hii misemo ya kudra za mwenyezi mungu nasikiaga africa tuu. Wazungu hawanaga hii misemo ila tukiingia uwanjani tunachezea vichapo tuu. Sasa ni kwamba wao mungu wao tofauti na wetu?
Mosimane anatua lini?Waafrica tuna mizaha sana
Mosimaneee mosimaneee wa Yombo? Hahahaaaaa hebu tuacheni jamani na timu yetu aiseeeMosimane anatua lini?
Aisee ni ww umeyasema hayo au mwingine?Wakiwa hapa ni cha wote..wake za watu wametulizana makwao na waume zao