OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Israh achunguzwe, kuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani na kuiacha hatuaiachi acha ituue tuu bestyNilikuambia juzi....hii Timu siku moja Itatuua Aki....
Halafu si alikua mchezaji wa hyo timuIsrah achunguzwe, kuna namna
Mie ndio mchepuko wao wa jf...🤣🤣🤣🤣Wacha kutag wake za watu we zoba,
Ushabiki wa mpira ndo ulikofika huku! Yaani mtu huwezi kucomment bila tusi?Senge nyie Mikia.. Sasa kipo wapi..?
Pyeepyee. HaahahaaItafaa sana mechi za nyumbani tutoke na point zote 9
Tukutane 23 oct🤣🤣Hakuna jasho hapo ni kujiona kwao kwmba siku zote kmc ni vibonde wao ila hakuna cha jasho wala nini. Azam tutawafumua na nyie utopolo trh 23 tutawafumua vile vile
Hata Kigoma ni mkoaniMakolo hili timu lenu likianza kwenda mikoani ndio mtajua hamjui
Uniite kabisa humu mapemaaa mnafumuliwaTukutane 23 oct🤣🤣
Wamesahau hahaaaHata Kigoma ni mkoani
Aisee!!Mechi hii itatoka sare
Vyura FC tulia...[emoji1787]Mmechomoa baada ya kuhonga [emoji3][emoji3][emoji3] mwaka huu mtachezea sana
Azam huyu huyu alietoka sare na Geita Gold pale chamazi au tusubiri nyingine?Yenu screpa kama kmc tu kawatoa jasho je mkikutana na azam si mtapigwa nyingi
Wanapenda sana kutukana unajikuta na wenye mioyo midogo unarudisha tusi ambalo hukutegemeahuu ushabiki wa kutukana matusi ni wa kishamba
Yani hawapati ubingwa labda ubingwa wa kuogelea hahahahhahaVyura FC tulia...[emoji1787]
Nyie huu Mwaka sijui mtaambia nini watu.
Israh ni weak link kwenye defence ya simba. Na magoli yote yametokea kwakeIsrah apewe adhabu ya kufeka nyasi za pale Bunju...
Wachezaji wanacheza upuuzi tuu uwanjani... Kwa Simba hii itatuua kwa presha....
Kabisa....Yani na kuiacha hatuaiachi acha ituue tuu besty